Netanyahu Kiboko yaani ananichakazia Watu huko Lebanon na Gaza, halafu leo kapanda Gari akawa anapiga Mluzi na Kucheka Kijeuri

Netanyahu Kiboko yaani ananichakazia Watu huko Lebanon na Gaza, halafu leo kapanda Gari akawa anapiga Mluzi na Kucheka Kijeuri

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ukiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Madunduka) na Wapumbavu (Mapopoma) hasa wa huko Mashariki ya Kati pamoja na wale Wapuuzi wanaowasapoti.

Duniani cheza na Watu wote ila siyo Benjamin BIBI Netanyahu kwani huyu akisema anapiga jua anapiga kweli hatanii.
 
old-man-listening-to-the-radio-lome-togo.jpg

Kwamba Netanyahu amefanyaje?
 
Ukiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Maddunduka) na Wapumbavu (Mapopoma)

Duniani cheza na Watu wote ila siyo Benjamin BIBI Netanyahu kwani huyu akisema anapiga jua anapiga kweli hatanii.
Vijana wa BB hao
WhatsApp-Image-2024-09-28-at-21.15.35-640x400.jpeg
 
Huyu tokea kaka yake auliwe na magaidi na yeye aliamua kuranduka kama wao tu
Yonatan Netanyahu. lla hakuuliwa na Magaidi bali aliuwawa Entebbe Airport nchini Uganda (baada ya Kupigwa risasi na Mmoja wa Askari wa Amini alipokuwa anakimbia Kupanda Ndege ili kuondoka na Mateka wao wa Israeli) alipokuja Kuwakomboa Mateka ambao walitekwa na Nduli Idi Amin. Na ukiitizama kikamilifu ile Filamu nzuri na ninayoipenda na sichoki Kuitizana ya 90 (ninety) minutes at Entebbe utagundua kuwa Israeli ndiyo Taifa pekee lenye PhD ya Kupigana Vita yoyote ile duniani na Kufanikiwa kikamilifu.
 
Huyu tokea kaka yake auliwe na magaidi na yeye aliamua kuranduka kama wao tu
Kakake Yonitan 'Yoni' netanyahu alikuwa Kamanda wa Kikosi
maalumu kilichotumwa kwenda Entebbe Airport Uganda kuwakomboa Waisrael waliotekwa na magaidi wa Kiparestina kwenye ndege. Hakuuwawa na magaidi, aliuwawa na askali wa jeshi la Uganda (UDF) wakati huo chini ya utawala wa Idd Amin July 4 1976. Walifanikiwa kuwaokoa mateka wengi pia Walifanikiwa kuondoa na mwili wa Yoni.
 
Back
Top Bottom