GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wajinga (Maddunduka) na Wapumbavu (Mapopoma)
Vijana wa BB haoUkiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Maddunduka) na Wapumbavu (Mapopoma)
Duniani cheza na Watu wote ila siyo Benjamin BIBI Netanyahu kwani huyu akisema anapiga jua anapiga kweli hatanii.
Nyie hamjiulizi tu kwanini tokea nijiunge JamiiForums hapa Avatar yangu ni ya Netanyahu tu na sijaibadili na siibadili?Obama alishakili hilo,kwamba ndo kiongozi wakidunia mgumu amewahi kutana nae, akisema kitu sifanyi sitafanya anaenda kufanya kama kilivyo
Toka Egypt ijiweke pembeni mambo kwa Israel yamekua rahisi sanaView attachment 3111290
Mmeanza kina nan?
Mmeanza
Egypt walishatulizwa MALENGO yametimia imekuwa nchi ya kidemocrasia
Yonatan Netanyahu. lla hakuuliwa na Magaidi bali aliuwawa Entebbe Airport nchini Uganda (baada ya Kupigwa risasi na Mmoja wa Askari wa Amini alipokuwa anakimbia Kupanda Ndege ili kuondoka na Mateka wao wa Israeli) alipokuja Kuwakomboa Mateka ambao walitekwa na Nduli Idi Amin. Na ukiitizama kikamilifu ile Filamu nzuri na ninayoipenda na sichoki Kuitizana ya 90 (ninety) minutes at Entebbe utagundua kuwa Israeli ndiyo Taifa pekee lenye PhD ya Kupigana Vita yoyote ile duniani na Kufanikiwa kikamilifu.Huyu tokea kaka yake auliwe na magaidi na yeye aliamua kuranduka kama wao tu
nimekuelewaMmeanza kina nan?
HatariiHuyu tokea kaka yake auliwe na magaidi na yeye aliamua kuranduka kama wao tu
Kwamba Netanyahu amefanyaje?
Kakake Yonitan 'Yoni' netanyahu alikuwa Kamanda wa KikosiHuyu tokea kaka yake auliwe na magaidi na yeye aliamua kuranduka kama wao tu
Sura za kazi kabisa walahi masafe ya mtumeeVijana wa BB hao
View attachment 3111283