camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Mbwembwe za waarabu tu hiziIsrael iliyojawa na hofu inaiomba Marekani kuingilia kati dhidi ya ongezeko la wanajeshi wa Misri huko Sinai, ikiishutumu Cairo kwa kukiuka mkataba wa amani wa 1979. Mvutano unaongezeka baada ya mkutano wa kilele wa Waarabu na Waislamu nchini Qatar Septemba
View: https://x.com/silentlysirs/status/1969514992467681437?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
sipingi recognition
mkuu hata wewe unafamu ili kua member UN security council lazima ipitishe, sasa huku si ndo utakutana na Veto ya Marekani??? kwani mfano hata Marekani akisema Taiwan awe member China si atakuja ku-vetoBreaking:China officially demanded United Nations to make Palestine it's member.
Gaza pale kuna magaidi mavaa kobaziHii ni mipango ya Mungu ana makusudi yake hawa wote wameshriki mauaji ya kimbari ya Gaza sasa hivi nafsi zinawasuta wanachafuana wenyewe kwa wenyewe.
Hilo linajulikana huenda ufahamu faiida ya kutambulika Palesrina hasa kwa haya mataifa makubwa washirika wakubwa wa Israel kama Uingereza, Ufaransa, Canada, hujui kwa nini Nentanyahu kavurugwa na Marekani kazionya nchi ambazo zitaitambua Palestina ingawa ana kura ya Veto.sipingi recognition
nachokataa ni hiyo ya
mkuu hata wewe unafamu ili kua member UN security council lazima ipitishe, sasa huku si ndo utakutana na Veto ya Marekani??? kwani mfano hata Marekani akisema Taiwan awe member China si atakuja ku-veto
ndo maana kwenye yote uliyopost nimejadili hilo la china, kurecommend membership.Hilo linajulikana huenda ufahamu faiida ya kutambulika Palesrina hasa kwa haya mataifa makubwa washirika wakubwa wa Israel kama Uingereza, Ufaransa, Canada, hujui kwa nini Nentanyahu kavurugwa na Marekani kazionya nchi ambazo zitaitambua Palestina ingawa ana kura ya Veto.
Leo kafiri anaonekana wa maanaHilo linajulikana huenda ufahamu faiida ya kutambulika Palesrina hasa kwa haya mataifa makubwa washirika wakubwa wa Israel kama Uingereza, Ufaransa, Canada, hujui kwa nini Nentanyahu kavurugwa na Marekani kazionya nchi ambazo zitaitambua Palestina ingawa ana kura ya Veto.
Mungu anawagombanisha makafiri wote ni wauwaji.Leo kafiri anaonekana wa maana
ndo maana kwenye yote uliyopost nimejadili hilo la china, kurecommend membership.
recognition ofcourse inabadili mzani , ila la membership kwa hali ilivyo funguo anayo marekani.
na ndo maana watu wanazidi kulalamikia mfumo wa veto
mkuu unaelewa kweli nachoandika hapa?
hii haina maana na kimsingi haiwezekani "veto"
Kweli mkuu , nachosemea kwenye veto ni kwenye kupata , full UN membership,Veto insweza kupuuzwa na Mataifa mengine kwa kila nchi unilaterally kuitambua Palestine na kuingia nayo mikataba ya kinchi.
Kumbuka, Dunia inaweza kuamua kuiwekea vikwazo Israel na huyo Marekani atabaki sidelined tu kama ilivyokuwa kipindi cha Apartheid