Netanyahu Matatani baada ya Rais wa Israel kumtaka zaidi Gadi aliyepata 48%

Waarabu wa hovyo hawajawahi kuongozwa na wanyonge kisha wasiwapande vichwani watawala hao.

Waarabu wanamkataa sana Netanyahu, hii maana yake Netanyahu hacheki na uhuni wao.
 
Hivi kikatiba hairuhusiwi Netanyahu (chama tawala) kuungana na Gadi (mmojawapo wa wapinzani)? Kama inaruhusiwa, hiyo miamba miwili ingekubaliana kwa mustakabali wa taifa la Israel.
Inaruhusiwa ila wana sera tofauti lazima kuwepo compromise na wote ni wakubwa hakuna wa kumfuata mwenzake.

Last time inafanyika ni 2011 Naftali Bennett alikuwa na kichama kidogo hakina lolote kina viti 7 tu bungeni (roughly tuchukue TLP ya bongo). Sasa kwenye uchaguzi Yair Lapid na Netanyahu wakachuana vikali, Lapid akakubali power sharing na Bennett ambapo Bennett ndio anaanza kuwa Waziri Mkuu (can you imagine). Then miaka miwili anakabidhi madaraka kwa Lapid. Hapo ndio compromise ilipofikiwa upande wao ukamshinda Netanyahu.

Hata sasa Netanyahu hafanyi compromise kwahiyo anaweza poteza kama Gadi ana nafasi kubwa akiwa kama Lapid. Netanyahu amekaa madarakani muda mrefu hana njaa na madaraka kwamba afanye compromise ngumu hivyo, Gadi hajawahi hivyo hata ikibidi afanye power sharing ni sawa tu maana otherwise anaweza kosa yote.
 
Si kuna vyama vilivyo mrengo wa Netanyahu vinaweza amua kuingia upande wa Gadi.
Ni kitendo cha Gadi kutangaza benefits na sera kubadilika kuelekea kwao wawe inclusive. Basi kambi ya Netanyahu inakimbiwa.

Hiyo inaweza kuwa better option kwa Gadi, Netanyahu mwenyewe na wenye msimamo mkali. Badala ya ile ya Gadi kutafuta support kutoka vyama vya Waarabu.

Israel upinzani ni mkali na vyama vyote vina mchango mkubwa kwenye uchaguzi. Na hawachagui kama kukomoana, wewe ukiwa na sera kama yangu tunaweza kaa pamoja. Hakuna ushindi wa kishindo.
 
Jihadists mko wapi sasa, semeni mko tayari kukubaliana na hayo masharti mjiunge kuunda serikali ili muangamize magaidi wa Hamas japo ni ndugu wa imani!!!????

Hilo ndilo swali ambalo hao waarabu wanasubiriwa kujibu, mpira uko kwao.
 
Nijuavyo mimi uchaguzi hauwezi kurudiwa itaundwa serikari jumuishi tu!!
Uchaguzi unarudiwa tu vizuri. Serikali jumuishi si ni lazima iwe na 61%. Sasa kama wote watakuwa wagumu katiba haiwezi vunjwa lazima uchaguzi urudiwe.
 
Uchaguzi unarudiwa tu vizuri. Serikali jumuishi si ni lazima iwe na 61%. Sasa kama wote watakuwa wagumu katiba haiwezi vunjwa lazima uchaguzi urudiwe.
Utakuja kuniambia Uchaguzi hauwezi kurudiwa
 
Jihadists mko wapi sasa, semeni mko tayari kukubaliana na hayo masharti mjiunge kuunda serikali ili muangamize magaidi wa Hamas japo ni ndugu wa imani!!!????

Hilo ndilo swali ambalo hao waarabu wanasubiriwa kujibu, mpira uko kwao.
Jihadist ndo nini? Hivyo ni vyama vya kidemokrasia na vimeshiriki uchaguzi kidemokrasia sasa mambo ya jihad yanatokea wapi?

Wao pia wana masharti yao kama vyama ndio maana ya mazungumzo hakunaga masharti kwa mtu aliyebeba turufu ya uwaziri mkuu. Wao wakimwaga mboga Gadi asahau kuwa waziri mkuu so kupanga ni kuchagua
 
Matwako yako,si ulisema netanyahu kashinda,sasa vipi asiunde serikali?
 
Acha kujihami subiri Rais wa nchi atakayemwambia aunde Serikali!!!
 
Matwako yako,si ulisema netanyahu kashinda,sasa vipi asiunde serikali?
Najua Mwamba Netanyahu anawatesa sana Wafuga Midevu na Majini!!! Basi tu sema kashindwa uchaguzi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…