Netanyahu na Trump watafanikiwa kujidanganya na kuidanganya dunia?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709

​

Najua kuwa manazi wengi wanaoshangilia uhayawani na ukatili vinavyoendelea mashariki ya kati. Jana, Netanyahu aiishambulia Qatar, kikaragosi kama yeye cha Marekani.

Leo, imeshambulia Yemen, mwiba kwa wote wawili. Je, mazwazwa na wahuni hawa wawili watafanikiwa kujidanganya na kuidanganya dunia kwa uhayawani wanaoufanya unaoweza kufanya maisha ya watu wengi dunia kuwa magumu kutokana na kuvuruga uchumi duniani?

Jambo la kufikirisha, Netanyahu anasema Israel ilitekeleza ugaidi wake peke yake ilhali Trump anayejifanya kutohusika anasema hili halitarudiwa tena. Vipi, kama ahuisiki na hawa wahuni wanataka kumdanganya nani?
Najiwazia kimya kimya.
 
Kwani wanaodanganywa wana njia mbadala zaidi ya kujua wanadanganywa na kukubaliana na Hali hiyo.
 
Sehem ambayo mnakosea ni kuikosoa Israel bila kutaja unyama hamas walioufanya. Hakuna dunia inayounga mkono mauaji ya aina yoyote mkuu. Mi binafs ckubalian na mauaji ya watu pande zote hasa watoto. Na mimi nina watoto pia nisingependa kuona wanafikwa na yanayowakuta wapalestina au wayahudi waliochinjwa.
 
Kwani kurwani ainasrmaje kuhusu makristo na mayahudi,tuanzie hapo kwanza mana ndio msingi wa matatizo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…