Netflix inatafuta mhudumu wa Ndege atakayelipwa Tsh. 899,745,000 kwa mwaka

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1673994608-CHRISDELMASContributor.jpg

Netflix inatafuta mhudumu mpya wa ndege ili kujiunga na watoa huduma wake na iko tayari kumlipa zaidi ya dola 385,000 kwa mwaka kwa atakayekuwa na sifa.

Mhudumu huyo atafanya kazi kwenye moja kati ya Ndege zake binafasi katika mji wa San Jose, Calif. karibu na makao makuu ya kampuni ya Los Gatos.

Kati ya majukumu ya kawaida ya mhudumu huyo itakuwa ni kufanya ukaguzi wa vyumba vya Ndege kabla ya safari na kufanya muhtasari wa usalama, pia atawajibika kutunza chumba cha hifadhi kuu pamoja na Mhudumu kufanya kazi kwenye Ndege ya Gulfstream G550 inapohitajika.

Bonyeza Link hapa kuomba na kuona vigezo Flight Attendant

=================

Netflix is looking for a new flight attendant to join its “dream crew,” and it’s willing to pay over a quarter million dollars for the right candidate.

The streaming giant is hiring a primary flight attendant for one of its super midsize private jets based out of San Jose, Calif. near the company’s Los Gatos headquarters.

In addition to normal responsibilities such as performing pre-flight cabin inspections and conducting safety briefings, the new attendant will be responsible for maintaining the stockroom, according to the job listing.

The flight attendant will also be required to work flights on a Gulfstream G550 jet as needed.

The streamer says that candidates will be required to “demonstrate a professional representation of Netflix Aviation at all times while performing the duties of the position,” and says applicants should embrace Netflix’s culture and be able “to operate with little direction and a lot of self-motivation.”

Candidates are expected to be able to help Netflix Aviation provide “confidential air transportation” and should be able to perform their jobs with “discretion,” the company says.

Netflix hasn’t offered a specific compensation range for the role, but lists the overall market range for similar positions being between $60,000 and $385,000. The final compensation amount will be determined by “a wide range of compensation factors” including skills and experience, the company says.

The role demands “flexibility to work a varied work schedule including domestic and international travel, often requiring weekend and holiday work days and extended travel periods,” as well as an ability to lift and carry up to 30 pounds at a time.

The studio behind “Stranger Things” has 30 offices around the globe, including locations in Madrid, Seoul, Tokyo, Mexico City and London.

CNBC
 
Haifiki hata dollar 13k kwa mwezi! Huo no mshahara wa kawaida mkuu.
 
Nipo tayari.!
 
Haifiki hata dollar 13k kwa mwezi! Huo no mshahara wa kawaida mkuu.

Hata hesabu ya kawaida inakupiga chenga.

Hiyo ni $391,000 hivi per year.

Unafahamu hiyo ni kiasi gani kwa mwezi?

Gawanya kwa miezi 12.

Muhudumu atapokea wastani wa $32,583 hivi kabla ya taxes.

Few individuals in the US and Europe earn such a high amount of money each month.

Unafahamu hiyo ni pesa ngapi ya madafu?

Zidisha $32,583 * 2,300

Tzs74,940,900

Rudi hapa uniambie wewe unatengeneza pesa ngapi kwa mwezi.
 
Kwanza mnanichanganya netflix si kampuni online ya movies sasa mambo ya ndege yanakujaje watutangazie umma si wamtafute wenyewe kwani jf wapo?
 
Back
Top Bottom