NETFLIX wanafeli wapi?

Kwel kabisa money heist haitakua na mvuto
 
isee ni hadi ulipie?
ukijisajili unapewa 30days free baada ya hapo ndo unaanza lipia.unaweza jisajil ukala goodtime na hizo siku 30 kwanza.na kulipia yenyewe kama dola 9 nadhan kibongo kama 25000
 
Money Heist season ya 4 imeshatoka?
 
Mkuu kwanza nikupe pole kwa kuanza kuangalia series ya kaliba ya kipekee kabisa GOT, itakuchukua muda sana kuja kuanza ku enjoy series zingine kwasababu akilini mwako utakua ukiangalia series yoyote utakua unafanya comparison na GOT.......hali ikikuisha utaenjoy sana series

Kama unapenda fantancy na mambo ya kale jaribu Vikings
 
poa mkuu ngoja niicheki hii vking
 
Wakuu naomba niwaulize.. Hivi nikiwa na app ya Netflix naweza kudownload izo Episodes / series kwa ajili ya kuangalia offline? Msaada kwenye tuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia breaking bad alafu uje ulete mrejesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…