Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Hongera mwanahalisi kwa kazi nsuri inayopaswa kuigwa na RA Media empire, na Uhuru na Daily News.
Dutch Ambassador to Tanzania Karel van Kesteren (seated R) goes through a copy of MwanaHALISI at the offices of HaliHALISI Publishers Limited in Dar es Salaam yesterday. With him are Saed Kubenea (C) and the weekly`s Editor, Jabir Idrisa.
kweli kubwajinga.Kupiga picha tu.Unanikumbusha kisa cha Richmond na mzungu pamoja na biznes kadi yake.Alafu akitambuliwa na hao wazungu then wat?Africans have a long way to go!Duu!
Sasa hapa wametambuwaje ? Kwa jamaa kupiga picha na hili gazeti ? ama una maelezo mengine ya kuongezea ?
Naomba ufafanue neno 'Mtandao' lina maana nyingi sana.
Asante
Samahani Mkuu, nilikuwa naamanisha website address ya MwanaHalisi.
Pole kwa usumbufu.