Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
NETO walikuja na moto baada ya kuicharukia serikali kuhusu ajira za walimu na suala zima la wao kufanyiwa usaili. Jambo hili lilipokelewa vibaya na serikali ambako viongozi wao wa juu walikamatwa wakisema wanaendesha jumuiya ambayo haijasaliwa.
Waziri Simbachewene akajitokeza akasema anataka kuongea nao, na mazungumzo hayo yalifanyika jana.
NETO waliokuja kufanya press ni tofauti kabisaaa! Eti 4r za Rais Samia zimewawezesha kukutana na serikali na kufanya mazungumzo hayo, eti Simbachawene amewasikiliza kama mzazi wao ili kusikiliza changamoto zao, eti hawajihisi wakiwa tena baada ya kusikilizwa!
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mi naona hii ilikuwa mchongo wa CCM, watengeneze sinema, yaletwe maazimio ya mchongo afu swala liwe limesiha kiivyo! Kura za walimu zimehakikishwa, mama anasikiliza, mama anatenda, mama yupo na walimu! Ukizingatia kuna kliniki ya walimu inazunguka nchi nzima!