buy the way unatumia operating system gani?
mmmh sijui sina msaada lakini mbona specification zimebandikwa tofauti kama ulivyosema?angalia asije akawa mchina tena maana hawa jamaa wapo kila mahali,ni mawazo tu.Hellow wana jamii
Polen na majukumu
Nina Laptop HP Pavilion dv2000 but ukienda kwenye system Infomation imeandikwa HP Pavilion dv2700 na kwenye iliyobandikwa karibu na sehemu ya mouse ni HP Pavilion dv2988se Special Edition Notebook PC.
Sasa Nimejaribu kudown driver aina tatu lakini niki install hazifanyi kazi
Naomba msaada wenu kama kuna mtu ameshakuta na tatizo hili