Network marketing - hey, there is new opportunity i wish to share with u, please contact me on inbox

Network marketing - hey, there is new opportunity i wish to share with u, please contact me on inbox

mgaza2001

Member
Joined
May 5, 2010
Posts
96
Reaction score
29
BRIEF;
Four corners ni mtandao unauza vitabu vya financial success. ili waweze kuuza wanatumia system ya network marketing. ni kwamba wanashirikisha watu wengine katika kutafuta masoko. kwa wewe kujihusisha nao utalipwa na wao watapata faida. yani wewe kuwaletea wateja unalipwa. sasa ili mtu kujiunga lazima anunue kitabu cha level1 ndiyo $18 kwa iyo vipo vitabu kuanzia level 1-6.

Ni aina gani ya product?

1. Financial success-book(level 1-6)
2. E-news

- Watu wengi hawana elimu ya fedha,jinsi ya kufanikiwa. Wapi uwekeze, fursa gani sasa inalipa kupitia ivo vitabu you will never be the samebut system inacontrol everything. Mfumo wa network marketing ni kwamba wanatumia network ya watu kufanya biashara. yani ukiwaleta watu kwenye kununua vitabu wanakulipa. na wao wanapata faida. kwa iyo wale utakao waleta na vizazi vyao bado utalipwa kila mtu anaponunua kitabu.

Ili mtu kusudi aweze kuwa member lazima anunue kitabu cha level 1 ambayo ni $18 hapo wewe ndo umeuza na yeye kanunua. Anapotaka kuendelea kuupgrade level 2 atanunua kitabu akinunua tuu wewe unapata commission sasa iko hivi si tuu yeye bali yeye na vizazi vyake vyote.

TOFAUTI YA HII NA OTHER NETWORK MARKETING
1.Hatubebi bidhaa
2.Ni $18 kila mtu anaweza ingia na kuingiza watu wanne
3.Hakuna point za Mwezi
4.Ni simpe kushare video inafanya kila kitu
5.Tunalipwa kwa wiki na mwezi
6.Kuna aina 5 za vipato kwa iyo iyo $18
7.Ni biashara mpya kwa iyo utakuwa pioneer ikianza kutake off.
8.Product kila mtu anazihitaji- sucess book ukivisoma you will never be the same
9.Hakuna haja ya mikutano
10.Haina gharama za kufanya uzinduzi wa bidhaa. au promotion. kila mtu anaweza
 

Attachments

  • a2.jpg
    a2.jpg
    7.2 KB · Views: 111
  • z.jpg
    z.jpg
    20.2 KB · Views: 64
Back
Top Bottom