Mwenye uelewa na hizi biashara za network marketing naomba anipe in and out ya biashara hii maana nimekuwa nasikia watu wengi sana kuwa huwa wanajiunga.
1) Hii mifuko huwa inaukweli wowote kwamba wanachokisema na kukihubiri huwa kina ukweli wowote?
2) Je ni watu wangapi kwa Tanzania tunaweza kuona kuwa wamepita huko wakafanikiwa ambaotunaweza kuwafanya kama mashuhuda kwetu?
3) Hii mifuko kama ni kweli je ikija kufilisika utaenda kwa nani ili akurudishie pesa yako?
4) Je kwa nini naona mifuko mingi sana ni ya nje ya nchi?
5) Hizo bidhaa ambazo wanaclaim kuwa wanazo kwa nini wasiziuze kama bidhaa nyingine zinavyouzwa hadi walazimishe iwe network?
6) Je kwani mtu akishindwa kupata members na tayari alishajiunga na kutimiza vigezo vyote je kwa nini asirudishiwe hata kiasi kidogo?
7) Hawa watu ambao wanaclaime kuwa wamefanikiwa kwanjni mtu akitaka kujiunga kwa nini wasiseme wewe kama unataka kujiunga wakulipie kwa sababu ni biashara nzuri na yenye uhakika na uhakika utaweza kumrudishia pesa yake kwa nini asikuripie then utamrudishia kwani wewe huna hela?