Network unlock

QUALIFIED

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
773
Reaction score
118
Habari wakuu,

Mwenye network unlocking code za Motorola e5 locked by Verizon anisaidie tafadhali.

Imei yake 351838090697861.
 
Kama kuna mtu anaweza unlock remotely basi aicheki na hii androidone sharp

353023080782084
 
wataalam wetu wa bongo wanaweza kufungua smart vitoochi tuu
 
Habari wakuu,

Mwenye network unlocking code za Motorola e5 locked by Verizon anisaidie tafadhali.

Imei yake 351838090697861.
Kwa mara ya mwisho naangalia kwenye server za online verizon ilikuwa hai-support sijui kwa sasa kama iko supported.
 
Mimi mwenyewe nilitunza Motorola V3 mpaka sasa hivi imelala kwa sababu ni Network locked. Sikupata tool za kufungulia.


Sent from my cupboard using mug
 
Kuna hii tecno y3+ imei 356144074159209
 
Kuna hii tecno y3+ imei 356144074159209
Hii unlock na MTK engineering mode tu! Ikishindikana tumia cracks za nck/miracle box zinafyatua sekunde 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…