Netwek ya tigo bomu kweli
jamaa alikuwa anachat kwa txt na
mpenzi wake
Binti; Hi Babes
Jamaa: Hi luv (msg sending failed)
Binti: Vipi upo?
Jamaa: Ndio nipo sweety (msg sending
failed)
Binti: Mbona hunijibu? Uko na mtu?
Jamaa:Mbona nakujibu sweet (msg
sending failed)
Binti: Mi naona unadharau sana. Mi
nimechoka staki tena
Jamaa: Pumbavu mkubwa kwenda zako
(Msg sent