Network ya tigo iko down

Actually leo tigo wameniboa cos mpaka na tg pesa imezingua maana
nlikua na miad na mtasha mpya na mid akinipigia cm 2 ndo ishu mpango, sasa watatulipa nn unadhan hawa​

Eti wanafidia kwa dk 2 na sms 5!!!
 
Mh..!! Leo ni siku yangu ya kushangaa,hivi pamoja na mahangaiko yangu yote ya kutongoza pamoja na kufumaniwa na ruttashobolwa katika harakati hizo hujabahatika bado tuu kuijua jinsia yangu..??

Msiri wangu,
njoo papaa,
naona nyendo za Mimtamu zinakoelekea siko.
Ndo mana anatukaribisha kwenye ulimwengu wa TIGOOO!!!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru madame B kwa kuwa wa kwanza ktk wageni wangu. Nadhani nawe umevutiwa na huduma ya jana ambayo bado inaendelea.. Kitu haina reflesh, wala reload mwendo mdundo full majoka. I love u tigo

......I love u Mintamu.
Lol...!!
 
Ni kawaida kwenye mitambo huwa kuna wakati inaweza ikasumbua kidogo!!kama mwili wa binaadam anaweza akaumwa ghafla...bila hata dalili yeyote!tuvumiliane tu!

umetumwa wewe...
 
jana nime-top up simu yangu kutoka kwa tIGOPesa acc, kule wamekata huku kwene simu ela haijaingia/haipo, sasa sijui nitakua mgeni wa nani. nimebembeleza sana huduma za hawa incompetent fools for some time now, pengine now is time to part ways, nimechoshwa!
 
...hawana jipya hawa!
watatuma msg ndeefu wakisema wamekupa dk 2 na sms 5 ati kufidia usumbufu...EWWW...damage watu wanayopata kamwe haiwezi kufidiwa na hizo dk 2...

hawa wajamaa wajipange!
 
 
 
Hawa jamaa wana matatizo ya kiufundi halafu hawasemi, binafsi jana baada ya kugundua tatizo nikaswitch simu yangu kwenda 3G walau hapo network ilikua stable...tatizo linakuja sio watu wote wenye simu zinazosupport 3G
 
Leo ndo wametengeneza, afu no compasation.
 
moja ya comment ya mteja wa tigo:

Kumamamae bosi wenu,
kumamamae mafundi wenu
wa mitambo,,,,,
kumamamaamaaaee zenu nyite mnafirwa, kwanzia
bosi mpk customer care!!
Kumamamamaeee zenu ni
zaidi ya massaa 6 hakuna
network,,, **** za
bibizenu nyie mafala, mnaturudisha nyuma,,,
mikundu yenu hamtoi
taarifa,,,, mavusi ya shaba
nyinyi mshaenda kulala
mnatuacha
tunahangaika,,, , mbwa mwitu nyinyi!!! Hamukomi
maguruguru nyinyi,,,,
hamustahiki ustaarabu zaidi
ya ushenzi,,,, kwa vilr
mnatufanyia ushenzi nami
sijasita kuwaandikia ushenzi mikundu nyinyi,,,,
**** YOU TIGO!?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…