NETWORKING: Msaada Wireless router inamaliza bundle haraka

Jaman naomben ushauri, nataka kununua laptop kwa ajili ya kwenda kusoma degree na masters ya IT je ni aina gan ya laptop ambyo ni mzur?
 
Nimefanya kila namna kama wadau walivyoshauri lakini naona usenge uleule tu.hapa 300Mb imeisha ndani ya dk 20 tu kwa kuperuzi JF tu.
Eka firewall, ruhusu app unazo taka zitumie internet, kuna mdau juu kapost firewall
 
Jaman naomben ushauri, nataka kununua laptop kwa ajili ya kwenda kusoma degree na masters ya IT je ni aina gan ya laptop ambyo ni mzur?
Hizo degree zote unazisoma pamoja?
 
Halafu nimegundua hata nikitumia computer kwa kuunganisha na waya data inalika kama kawaida ninasuspect connection ya router inafanya kazi that way mb zinakimbia kwelikweli
 
Halafu nimegundua hata nikitumia computer kwa kuunganisha na waya data inalika kama kawaida ninasuspect connection ya router inafanya kazi that way mb zinakimbia kwelikweli
Ethernet nafkiri huwezi kuifanya iwe metered connection that's why.
 
Step by step guide tafadhali
Soma comment ya Watu8 yeye ametumia data tracker, zipo nyengine kama glasswire etc.

Kazi ya firewall ni ku track kila mb inayoingia na kutoka kwenye kifaa chako. Itakupa data halisi na zipo more advanced compare na built in solution kwenye kifaa chako.

We iweke maelezo yake na user interface inakuwa rahisi kuielewa. Kama kuna tatizo tutaangalia zaidi.
 
Kingine kinachokula bundle Ni Instagram! Noma Sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sijui njia gani nzuri ya kupunguza ulaji wa data Instagram.
 
Kwa mimi ninavofahamu.. ukiwa unatumia Wi-Fi kuna baadhi ya apps zinakua zinafanya updates ya kitu chochote pale kinapohitaji huduma.. ila kama unatumia internet ya kwenye sim uwa ni mpaka uruhusu matumiz hayo.. cha kufanya tembelea apps zote fanya setting ya kisitisha matumizi automatic.. kama telegram na WhatsApp pia huwa zina download media automatic nazo fanya kuziset off..
 
Hamna sema device unazotumia ndio zinamaliza bando
 
Most of the time computer huwa zinatreat Routers kama unmetred network.
Chakufanya

1.Hakishasha kila pc unayo connect, network iwe umeiset ni metred connection.

2.Hakisha hakuna mtu mwengine anaye jua hiyo password, ongeza ugumu wa password ikiwezekena.

3. Hakisha umezima huduma za cloud sync kama Google drive, Onedrive HiCloud na cloud backups kwenye fivaa vyote.
Punguza matumizi ya streaming services kama, Twitter spaces, youtube, soundcloud na mingineyo
 

Hii natumia ni GlassWire na ni freeware version, ipo vizuri inasaidia sana in real time tracking n.k...
 
Ukitumia wifi Simu automatic inajua ni unlimited inaji update, kama Kuna apps playstore zipo outdated miaka kadhaa zote zitaji update.

Sema ikimaliza ku update itakuwa kawaida tu.
Huu mtego unaliza sana wale wema wanaounga watu hot-spot kishkaji[emoji1787][emoji1787]

Unakuta ikiunga tu,inaanza kudownload video,picha na audio kwenye watsap na telegram.
Ina update apps zote za google zilizo kwenye folen zikisubiri WIFI.

Vi bundle vyenyewe hivi GB 1[emoji16][emoji16]lazima ununiwe.
 
Disable window update
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…