Huwa najiuliza ni kwa nini kipindi hiki biashara za Networks Business zimeongezeka kwa wingi tofauti na hapo awali. Je ni inamkomboa mwananchi kutoka umaskini kweli au inamdidimiza? Na Je inafaida gani kwa serikali yetu ? Mwisho Serikali inazitambua Networks Business zote?