Neurosurgeon anapatikana wapi?

mr man city

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
467
Reaction score
319
Habari za mda huu wadau

Nauliza kwa hapa Tanzania hawa wataalamu wa neurons wapo? wanapatikana hospitali gani?

Natanguliza shukrani.
 
Muhimbili kuna kitengo kizima cha neurosurgery na jengo lao jipya - Ahsante Kikwete.

Kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa hakuna hiyo.
 
Nenda Mhimbili National Hospital-Muone.Dr Innocent Rwegasha.Ni mtaalam sana.Mara nyingi yupo ward ya mwaisela ila tafuta siku ya clinic yake amuone hapo.
 
Muhimbili kuna kitengo kizima cha neurosurgery na jengo lao jipya - Ahsante Kikwete.

Kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa hakuna hiyo.

unamaanisha jengo au kitengo?...kaka yangu yuko muhimbili as neurosurgeon kwa zaidi ya miaka 15... Sifia jengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…