Never argue with men they are natural born liars!!!!!

TF upo mkuu
Nilikuona jana nyumba ya jirani aise
mambo vipi
BTW sijachakachua siredi please
Nipo banaa since tumeambiwa wanaume we are natural born liars wakati wanawake ndio wanatuzaa sielewi, nasikia border ya Namanga wana target FAT chicks lol!!!
 
Nipo banaa since tumeambiwa wanaume we are natural born liars wakati wanawake ndio wanatuzaa sielewi, nasikia border ya Namanga wana target FAT chicks lol!!!

Washasema siku nyingi sana kuwa wanaume wote ni watoto wa mama mmoja maana kwa mambo mengi tunafanana na zaidi zaidi uongo
 
sisi wengine ambao sio mawakili hapo tutajiteteaje? uongo gani utasema?
 
Nilikuwa natafuta njia ya kutokea NJE bahati mbaya nikapita hapa. Naomba MNISAMEHE.
 
hehehe ukitaka kujua nani muongo zaidi jalibu sku moja uongozane na waifu wako mkapime DNA ya mtoto, Nakuhakikishia utaenda na taxi utalejeshwa home na ambulance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…