Habarini wakuu,
Nimekuwa nikisense silent treatment from my mum nashindwa kuelewa nimekosea wapi.
Ila nimejitafakari nikaona tukiwa tunajadili mambo na story za hapa na pale ikatokea Kuna ubishani kuhusu kitu Fulani nikatoa perspective inayokinzana na ya kwake hatufikii mwafaka.
Minikajua ubishani kumbe ana chukulia vitu mbali Sana na personal.Na kinachofuata baada ya hapo ni silent treatment.Hii hali Kwa kweli siipendi.
Nataka kuwa mtu wa kuitikia chochote anachokisema na kuepuka mabishano maana minikajua tunibishana tu kumbe anafika mbali Sana.
Note; Namsikiliza nafanya Kila kitu anachonitaka nikifanye.