Neville Goddard, Joe Dispenza, Mahatma Ghand Sadhguru etc Wanawezaje?

Neville Goddard, Joe Dispenza, Mahatma Ghand Sadhguru etc Wanawezaje?

Enter Passcode

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2024
Posts
479
Reaction score
942
Salaam,

Wakuu, husika hapo juu, kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya uwezo wao lakini sipati jibu.

Je, kuna elimu wanayo labda mimi naikosa?

Wakuu mnaoelewa chochote kuhusu hii elimu, naomba ujuzi.

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom