New Add bookmark #1 Kila nikiingiza token za umeme inaandika reject umeme hauingii tatizo ni nini?

New Add bookmark #1 Kila nikiingiza token za umeme inaandika reject umeme hauingii tatizo ni nini?

Umeme nilinuua kwa njia ya nmb mobile hawakunitumia token
Nikaingia gepg nimefanikiwa kuzipata ila ndio hivyo nikiingiza inaandika reject
Mitaani kwenu walishafika wake wa marekebisho ya kuingiza luku mara 3?
 
Unatakiwa u-update mita yako. Wapigie simu Tanesco uwatajie namba yako ya mita watakutumia token makundi matatu. TANESCO
 
Hii kitu imenitokea. Hadi leo sijaingiza umeme. Ilibidi ninunue mara ya pili. Nimewapigia, wakasema watawaambia mafundi wao. Hadi leo sijapata mrejesho.
Kila nikiingiza token za umeme inaandika reject umeme hauingii tatizo ni nini?
 
Hii kitu imenitokea. Hadi leo sijaingiza umeme. Ilibidi ninunue mara ya pili. Nimewapigia, wakasema watawaambia mafundi wao. Hadi leo sijapata mrejesho.
Pole wapigie tanesco makao makuu watakupa msaada
 
Back
Top Bottom