New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Asubuhi tunataka kuuawa jioni uchaguzi wa huru na wa haki. Hivi hapo katikati ya asubuhi na jioni mwenzetu kulikoni....hizi njaa zitakupeleka kusiko

Uchaguzi huru na haki na unathubutu kukiri unalaani watu walioumizwa...waliumizwa na nani? Wale wenye mapanga....au?

Khalafu hao ni watu tu hawana majina, hawana chama, hawana PF3? Na wameumizwa na nani na lini? Je ni wapigakura wa jimbo lipi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…