New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness


Kikosi cha dada yetu kina macho makavu hayalegeilegei inapokuja 2025.

Hiki ni kikosi cha kulipitisha jina lake bila kupingwa na atakayeleta fyokofyoko utaisoma namba aliyesomeshwa Benard Membe...wataku-Membefy maana ajira zao zinategemeana na dada kuendelea kula mkate
 

Kwanini wanunue kwa bei ghali eneo tifutifu wakati wangeomba viwanja wajenge zao.

Naona mkono wa mwanasiasa kupindisha sheria ya manunuzi hata hawajatangaza zabuni kujihakikishia bila shaka hela za umma zitatumika vizuri.

Matumizi mabaya ya madaraka ni kichocheo kikubwa cha kupandisha kodi kila mwaka ili kuruzuku ufisadi ulioshamiri serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…