Aliwekeza sanaaaaaaa duniani ambako mchwa, mwizi, kutu na kifo ni halali yake...sasa ni wakati wa kitubio cha ukweli na cha kiroho kwani yote ya duniani ni kutwanga maji kwenye kinu.
We say it is time to forgive Aristotle and move on...we are commanded to forgive innumerable times a day. Let us not troll his way of seeking our mercy and compassion