New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

MKAKATI WA KUWAPORA KOVID-19 UBUNGE ZAHISIWA LAKINI WAO KUKATA RUFAA: KESI BADO MBICHI






TUONAVYO kovid-19 watakata rufani na ngoma bado mbichi na hii mipango ya wanasiasa itafumuliwa.

Wasichojua haki ya uwakilishi haiporwi kwa minajili ya kukidhi mahitaji ya wachache tu!
 
KABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA KAMA ALIVYOKUWA HAI.

Na Thadei Ole Mushi.

Agenda ya Upinzani kwa sasa ni Kulishambulia Kaburi la JPM na JPM mwenyewe. Toka wameruhusiwa kufanya mikutano ya Hadhara wameshindwa kuleta hoja zinazohusu wananchi badala yake wanapambana na Marehemu.
-
JPM hakuwa wa kwanza kuongoza nchi kwa namna alivyoiongoza. Kasomeni Letter from the Grave inayozungumzia maisha aliyoyakuta Kuan Yew Singapore na alipoiacha alipokufa.
-
Singapore tulikuwa nayo sawa kiuchumi miaka 1965 Leo wanatoa Elimu ya kiwango Cha juu kabisa, wanatoa huduma Bora za afya nk. Hawa walianza na uthubutu na walianza na miundombinu ambayo ndio njia ya kuyafikia hayo maendeleo ya watu. Aliyechangia mabadiliko hayo pale Singapore alikuwa ni Lee Kuan Yew. Mwanzoni hakuelewaka lakini leo ndio wanamuita baba wa Taifa hilo.
-
Wakati haya yakifanyika watu wa Singapore walikuwa wanalalamika kuwa tunanyanyasika nk. Kuan Yew aliwahi kuanzisha Sera ya stop at two yaani usizidishe watoto wawili ili kupunguza unemployment, watu walilalamika, mashirika ya haki za binadamu walilalamika, Media zilipiga kelele lakini alisimamia msimamo huo huo siku moja alipohojiwa kuhusu Hilo alisema “I am often accused of interfering in the private lives of citizensv(1987). Had I not done that, we wouldn’t be here today. And I say without the slightest remorse ... we would not have made economic progress if we had not intervened on very personal matters.” haya yalikuwa majibu yake.
-
JPM anayeshambuliwa na Chadema ifike mahali sasa waache na watafute agenda nyingine ambazo zitagusa wananchi moja kwa Moja. Kwa nn nasema hivyo?….katika kipindi chake JPM…..

1. Watumiaji wa Umeme waliongezeka nchini toka asilimia 35 Hadi asilimia 85. Yaani JPM alipoingia madarakani alikuta Ni asilimia 35 tu ya watanzania wenye Umeme kabla hajafa wanaotumia Umeme majumbani walifikia asilimia 85.

2. Alishusha gharama za kuunganisha umeme toka 177,000 Hadi 27,000. Alipoingia JPM Madarakani alikuta Bei ya Umeme shilingi 177,000 na nguzo ilikuwa Ni shughuli tuliambiwa nguzo zinaagizwa SA kabla hajafa ukiwa na elfu 27,000 unafungiwa umeme.

3.Vijiji vilivyounganishwa na umeme kwa miaka Mitano katika kipindi chake vilikuwa 9,112 toka vijiji 2,018 JPM alivyovikuta 2015.

4. Tulikuwa hatuna Rada na tulitegemea Kenya kutuongozea anga letu. Kwa miaka mitano JPM alitufungia rada nne ambazo zipo viwanja vya ndege vya Daresalam, Mwanza, Songwe na Kilimanjaro.

5. Kwa upande wa usafiri wa Maji zimekarabatiwa meli ya mafuta ya MT. Sangara, hii ipo ziwa Tanganyika, ziwa Victoria zimekarabatiwa meli Tano. MV Victoria, MV Butiama, Mv Claris, Mv Umoja na MV Wimbi.

6. Alituanzishia Elimu Bure
7. Alituanzishia ujenzi wa SGR
8. Alituanzishia ujenzi wa Bwawa la Umeme.
9. Alitununulia ndege
10. Alitujengea hospital na Barabara za kutosha.

Huyu alikuwa mwana CCM alikufa akiwa CCM na ni jukumu la CCM kulinda image yake hata kama hayupo. Kwa CCM tujifunze kitu muhimu sana nilichowahi kuandika kuhusu tofauti kati ua Mentor na Competitor. Niliwahi kusema kuna tofauti kati ya misamiati hiyo miwili. Mentor ni mtu unayepewa au unayemtafuta akusaidie katika kazi wakati unaanza kazi mpya au biashara mpya ambayo hujawahi kuifanya awali.
-
Competitor ni mtu anayejitokeza kushindana na wewe katika field uliyopo, mara nyingi hawa hujitokeza wenyewe na hawatafutwi.Ni kosa kubwa kumchukua au kumfanya mtu ambaye ana skills, Uzoefu na Knowledge kubwa katika eneo la kazi yako au biashara unayofanya na kumfanya Competitor. Huyu unatakiwa umfanye mentor na si Competitor wako.
-
Mark Zuckerberg CEO wa mtandao wa Facebook aliwahi kuhojiwa na Charlie Rose katika kipindi cha American talk Show, akasema nyuma ya mafanikio yake kuna Mentor anayeitwa Steve Jobs. Katika ukuraza wake wa Facebook pia Zuckerber aliwahi kumshukuru Steve Jobs kwa msaada anaompa.
-
Bill Gate huyu mnamjua kutokana na utajiri wake.Aliwahi kufanyiwa mahojiano na CBC Bill Gate hakusita kumtaja mtu anayeitwa Buffet kama mtu anayemfundisha mambo ya kibiashara na namna ya kuendesha kampuni lake. Bill Gate alidai Buffet ni mtu anayemfundisha kuchukua mambo magumu na kuyafanya kuwa marahisi kabisa. Hii ni kutokana na uzoefu aliokuwa nao Buffet katika eneo jipya aliloingia Bill Gate.
-
Richard Branson mwanzilishi wa kampuni la Virgin Group, aliwahi kusema kama ukiwauliza wafanyabiashara wowote waliowahi kufanikiwa wamefanikiwaje hawataacha kuwataja mentors wao. Richard Branson yeye alimtaja Freddie Laker ambaye alikuwa mfanyabiashara wa ndege kama Mentor wake.
-
Hawa ni baadhi tu ya watu waliokiri kuwa Mentors wao wamewafanya kuwa kama walivyo sasa. Ni jambo la kawaida kuwa unaweza Kufanikiwa kuliko Mentor wako lakini Kamwe usimdharau au kumtupa.
-
Tatizo kubwa ni watu kushindwa kutambua nani ni Mentor na ni nani Competitor wako. Kwa CCM lishikeni sana neno hili kwa JPM wakati tunaelekea kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.

Kwa upande wa Upinzani Haswa Chadema.

Kuna hoja nyingi za kutangaza Sera zenu mkasikika na kupata wafuasi wengi kuliko kushambuliana na Marehemu. Kuna wafanyakazi wanalalamika kuhusu Kikokotoo kuna wanaolalamika bei ya vyakula nk.

Mfano Ili ule Wali nyama Mlo mmoja kwa Familia yenye watu watano itakupasa uwe na Shilingi 10,000

Mchele 1 Kg 3,500
Nyama Nusu KG 5,000
Mafuta ya 1,000
Viungo (Nyanya, Vitunguu, nk) 1,000

Jumla 10,500

Wali maharagwe ili gharama itakuwa 10,000 Kinachobadilika hapo ni bei ya maharagwe ambayo 4,500.

Milo miwili mtu angalau kwa familia ya watu watano asubuhi unapaswa kuacha kuanzia 20,000 hadi 25,000. Tena hii familia iishi kwa adabu iachane na mambo ya Chai asubuhi.

Hapa bado Nishati ya kupikia Chakula hicho.

Kwa hesabu za Darasa la Pili kutoa, kujumlisha na kugawanya kwenye familia ya namna hii mkuu wa Kaya anatakiwa awe anafanya kazi inayomlipa kwa mwezi angalau 600,000.

Hapa akijichanganya tu kwenye hiyo laki sita akatoa hapo hela ya Nauli na Kodi tu kuna siku familia haitapata chakula kabisa. Tujiuliza asilimia ngapi za watanzania wenye kipato angalau cha 600,000 kwa mwezi?

Kipindi cha JPM walikuwa wanalamika kuhusu maendeleo ya vitu na watu. Nadhani turudi kwenye hoja zile za Maendeleo ya watu na Vitu.Kwa bahati Mbaya sana Upinzani hauoni Hoja hizi na Bunge ambalo lina wawakilishi wa wananchi pia hawalioni Jambo hili na kushughulika na Shida za wananchi ili Serikali itekeleze.

Ole Mushi
0712702602

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
This decision we promise to interrogate sometime in the near future.

We have already said this matter was wrongly decided.

We shall explain.

View attachment 2540995


WHY WE SAY THE MSECHU DECISION IS A BAD LAW!

This quote is not the position of the Evidence Act. The burden of proof is with the accusers, not the accused. The trial court just misapprehended the most basic principles in the administration of justice! Obviously, turning the tables against the accused led to maladministration of justice.

The legal reasoning is too flawed that the accuser can "verbally" deny the accusations, and a court of law can buy into his unsupported claims of innocence. This is not what the law is, neither will ever be what the law should ever be!

Where are the affidavits from the Director General of Takukuru to support his adamant claims? The interrogation there had nothing to do with the contents of the publications?


Shockingly, contrary to the evidence act, the High Court believed unsubstantiated claims of innocence without faulting the devastation of the clear position of the act, which states where there is a documentary evidence oral evidence is impermissible.

We were also surprised in the way the trial court recklessly treated the president allegations as if the publisher did not have a right to publish without seeking the plaintiff right to s trnuo rejoinder!!!!. In absence of suing the president, the plaintiff had no locus standi to arraign on third parties whose role was not only to inform the general public whom public servants are accountable but also to interrogate the reasons of why the president made those defamatory remarks against the plaintiff.

We see double standard, when the court finds the wisdom of the right to riposte from the publishers while the plaintiff did not bother to seek the same rights from his accuser: the president of United Republic of Tanzania. One can not go to court without first seeking absolution of any wrongdoing, and the trial court albeit unintentionally had cleared the plaintiff of the allegations despite not being reinstated! This amounts to the violations of the doctrine of separation of powers between the judiciary and the executive. The trial court had zero jurisdiction to clear the plaintiff, and rule the allegations raised by the president were false, inflammatory, and defamatory. There must have been another independent body to make that decision, and not a court of law in such a flimsy defamatory proceedings.

The correct position of the law public officers questioned their conduct by their superior ought to raise litigation against them. In the absence of slapping his employer with libel suit, the plaintiff lost the locus standi to charge the publisher. It should have been construed as an admission of wrongdoing. The plaintiff ought to have included the president as a primary defendant, a failure to do that meant the accuser had accepted the complaint.

Of what was disturbing most is the plaintiff claims of innocence before the Board of Directors without producing supporting documents from the Board itself or even an affidavit from the Board chairperson, Board minutes and witnesses of those Board members who deliberated on his issues of gross misconduct, if any. Vehement denials without supporting evidence ought not be accepted by a trial court to make a finding the complainant was defamed.

On land plots issue, there was also nothing before the court to conclude the litigant was defamed.

On insurance issue too no collaborating evidence from the Board of Directors was produced rendering court finding that the publications were false to be hot air.

The formula to determine damages was arbitrary. There was nothing deposed before the court to determine the plaintiff deserved the billions he was awarded. It is insufficient to claim leg room of association without showing earnings and how much the publications had encroached on those incomes. Being in a variety of Board of Directors or having presidential appointments tell us plenty about proximity to appointing authority but nothing about his earnings, we are very concerned. The court to assess damages based on affiliations rather than foregone income render the pecuniary assessment being questioned over arbitrariness, ambiguity and subjectivity, and justice can not be seen has been done let alone being perceived to have been done.

Awarded damages can not be both specific and general for an obvious reason that if damages are quantifiable, they can not be on the same vein be unquantifiable. The trial court awarded both parlaying legalese nomenclature to commit double jeopardy: nobody should be punished twice is still good law but the awarded damages of defamation and general damages were an assault to many precedents set out by the Appeals Court. Our laws says the decisions of the Appeals Court are binding to all inferior courts, and tribunals. We expect less in this matter. Defamation damages were general damages because they were not calculated based on a formula beyond the trial Judge bowing down to unproven claims. So, how comes defamation damages were treated as specific damages defies logic and commonsense. Both defamation and general damages had no basis in law proffering a reason to seek a superior court immediate intervention.


The trial court contradicted itself by making a finding that the president had made defamatory remarks against the plaintiff yet not investigate whether this was not a flawed litigation on the crucial ground of misjoinder of the accused. Why did the plaintiff not charge the president his employer with libel suit but opted to seek damage compensation against the Defendants? A failure by the trial court to investigate its own finding is irregular and constitute a sufficient reason for vacating this ruling on the ground of "misjoinder of the accused"

The law of evidence was violated in this is an appeal as a matter of urgency.

OUR TAKE.

An intervention of the Appeals Court is needed because an overriding public interest is at stake. The right to information overrides public servant right to be heard when their superior questioned their performance in public. Accountability is under threat if public servants can be absolved by courts in libel suits without supporting evidence from investigatory institutions.
 
Mbowe is a dictator.

He has recommended wages belonging to the Covid-19 be stopped by presidential order while he is pocketing political party subsidy hailing from the same MPs.


Mbowe defended himself he is not spurred by vengeance, but clearly, his unlawful assault can only be motivated by revenge.

We still urge him to exercise fidelity to the rule of law even if the wheels of justice are notorious slow.

Let the courts sort out the mess, but extra judicial tools he is espousing can not be honoured.

Covid-19 have a right to defend themselves before a court of law, and Mbowe's misplaced tantrums to deprive them of this right is an assault to the very constitutional order he is trumpeting to spearhead.

We conclude by reminding all and sundry that nobody should be condemned unheard of, and Mbowe should be rebuked for advocating against this pillar of democracy and the rule of law.
 
Tulipanda Usiku, tunavuna Mchana.
Ushoga, ulawiti, usagaji

Tulipoamua sote kuwa wafanyakazi, wajasiriamali na watumishi (wanaume kwa wanawake) hatukutafakari vyema.

Tulipoamua kuingia mtaani na kujipotosha juu ya haki sawa bila kujua undani halisi wa haki, fursa na wajibu hatukutafakari ya kesho.

Imeandikwa na Mnegro
8, March 2023.12:20PM.

Karibu sana.

Tulipoamua kufanya hayo yote, hatukuwaza vyema juu ya familia. Hatukuwaza juu ya misingi na malezi ya watoto wetu. Hatukuwaza nani atabaki nyumbani kusimamia jukumu kuu la nyumbani.

Tukaanza kuwakebehi akina mama wa nyumbani na kuwaita majina mabaya. Tukawaita magolikipa, chuma ulete, wajaza vyoo, mizigo, punching bags na kila jina tuliloona linatosha kuwafanya wachukie kusimamia jukumu lao kuu ambalo wengi wetu mama zetu walilifanya ndiyo maana leo tupo imara na tunawaona kama walikuwa wanawake wa chuma.

Wanawake nao walipoona imezidi, na kwamba akiwa dokta, mwanasheria, mfanyabiashara n.k ndo anaonekana bora na wa kisasa, nao wakaingia mzigoni.

Walipoelezwa kuwa maisha ni kusaidiana, bila kujua kuwa mama kusimamia jukumu la mji wake ndiyo msaada mkubwa kwa mumewe kuliko misaada yote, nao wakaingia kingi. Baba anaondoka na mama anaondoka. Mji unabaki na mtu ambaye huitwa housegirl au houseboy au ndugu wa mume au mke ambao nao wana ndoto zao, tabia zao, changamoto na mahitaji yao ambayo sasa yakawa ndiyo msingi wa malezi ya watoto wa baba na mama watafutaji.

Haijazidi miaka 30 toka huu mchakato usambazwe zaidi kupitia mifumo yetu ya kielimu, kisiasa na kijamii, Sasa tumeanza kuvuna matunda ya haki sawa, matunda ya kusaidiana, matunda ya mwanamke anaweza, matunda ya mkutano wa Beijing, na matunda ya kila aina ya utumbo tulioutafuna bila kuuosha. Sasa bakteria wa utumbo huo wameanza kutuozesha.

Mwelekeo huu wa matendo na matukio ya ushoga waweza kuwa mwanzo wa magumu mengi ambayo tutapitia kama jamii na taifa.

Wazungu na mashirika yao yaliyojificha kupitia taasisi za misaada chini ya dini, afya, siasa, elimu na sanaa wanajua ni kizazi gani kiliandaliwa ili kuja kuzalisha watoto ambao watapokea elements za LGBT (rejeeni haya mambo ya haki sawa yalianza kusambazwa zaidi lini nchini).

Sasa wanachofanya ni kuanza kuvuna matunda ya watoto wengi ambao hawakulelewa vyema na wazazi wao. Watoto waliokabidhiwa kwa walezi tofauti na wazazi wao kama vile wasaidizi wa kazi, walimu na wakufunzi wa dini.

Wengine ni watoto walioanza kutazama vipindi vya TV vyenye maudhui yanayoonesha ushoga wakiwa wadogo kuanzia miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni kuelekea 2010 na hata sasa kila tamthilia ya nje inayooneshwa nchini ina viashiria vya ushoga. Bado hatujashtuka.

Wazungu na washirika wao wanajua kizazi walichokiandika nao watazalisha kizazi dhaifu zaidi yao. Na ndiyo mchezo wenyewe unapoanzia.

Juzi Waziri wa Afya Dada Umy Mwalimu alisema na kuwakumbusha akina mama juu ya majukumu yao ya msingi ya kulea familia zao kuliko kujitokeza mitaani kama watafutaji na wafanyabishara zaidi. Akasema kuwa wasishindane na wanaume.

Kama Waziri ameona changamoto, tuna kila sababu ya kuona hili tatizo na kulichukulia kuwa tatizo la kitaifa.

Tulidanganywa tukadanyika. Leo tuna watoto ambao hata mzazi akiteseka, akiugua au hata akifa hawana uchungu maana wamelelewa zaidi na watu baki kuliko wazazi wao. Tuna watoto ambao wanathamini zaidi watu wa nje na marafiki kuliko walio wazaa. Na hawana mahusiano chanya na familia.

Ikumbukwe ukifanikiwa kuvunja bond ya familia, umeangamiza taifa zima.

Tumetikisa na tunaendelea kuvunja taasisi ya familia kwa kugeuza msingi wa majukumu kiasi kwamba kuna nyumba huwez kujua baba ni nani na mama ni nani. Utafutaji umekuwa ndo tatizo ambalo leo hii linavunja ndoa na kupelekea mauaji kitu ambacho hakikuwepo enzi za wazazi wetu wa chuma.

Na zaidi tuna familia nyingi za mzazi mmoja (single parent) ambazo zaidi kabisa ni za wanawake na watoto wao.

Hii ni kwasababu mwanamke wa kisasa mwenye kaelimu ka darasani hususani waliofika hadi vyuoni, wengi wao huona wanaweza hata wakiwa pekee yao. Mwisho ni mwendelezo wa uzinzi na mabadiliko ya ma-anko kila cku.

Matokeo yake mtoto anajifunza tabia hizo na kukosa misimamo ya kimaisha. Akifikisha umri wa balehe tu mama anabak analia na hana uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya mtoto wake. Na wakati huo huenda mtoto alishaambiwa baba yako alikufa au alikukataa.

Kuna mwanamama mmoja mmiliki wa taasisi moja inajihusisha na sanaa, sitaitaja jina. Naye ni single mother. Wakati mmoja alisikia wimbo uliokuwa na maadhi ya kuwatia moyo single mothers...wimbo ule ulimtia simanzi na hata akatoa machozi. Yeye ni single mother aliyefanikiwa, na alisema amefanikiwa akiwa single mother. Je kufanikiwa ndiko kulikomtoa machozi baada ya kusikiliza wimbo ule? Kwanini atoe machozi? Kwanini asifurahie tu ila hadi chozi linamtoka? Kuna mahusiano gani kati ya mafanikio na machozi? Nadhani kuna mihangaiko mingi na misukosuko na mateso mengi amepitia hadi kufanikiwa kama single mother ndiko wimbo ule ulimkumbusha hadi akatoa Machozi yake.

Hakuna mtu mwenye akili timamu anayetamani kuishi pekee yake hadi uzee wake. Watoto huja kama baraka na matunda ya familia, ila wakati wao ukifika nao huondoka na kwenda kuanzisha familia zao. Wenza hubakia wawili wakiendelea kuliwazana na kushea hisia zao hadi mwisho wao.

Hakuna anayetamani kuishi peke yake na ikiwa yupo ni wachache sana na hawakuanzisha familia.

Mfano huo utufundishe kuwa tunahitaji familia ibaki kujengwa na baba na mama na siyo vinginevyo. Huu ni msingi na ni kanuni za kimaumbile. Labda changamoto nyingine zisizoepukika ziingilie kati. Napo bado mfiwa anayo haki ya kupata mwenza mwingine ikiwa bado anahitaji.

Kama taifa tujifunze kitu na tuanze kujirekebisha kabla hatujafikia wakati ambapo kabla ya kijana wa kiume na wa kike kuoana, watalazimika kupelekwa kupimwa kama ni mwanaume kweli au kama ni mwanamke kweli.

Wakati bado hatuna sheria ya moja kwa moja juu ya ushoga, kila mtu ashike na kutunza vyema alicho nacho.

Wanawake wafanyakazi na watafutaji tengeni muda kwaajili ya watoto na waume wenu. Jueni jukumu lenu kuu na la msingi ni usimamizi wa nyumba zenu na malezi ya watoto na waume zenu. Mengine hufuata baada ya hilo. Kubwa zaidi kumbukeni kuwa na utiifu na adabu kwa waume wenu bila kujali uwezo wenu kiuchumi.

Msisahau kuwa mwanamke mtumishi ni daraja la 3 katika ubora wa mke. Hivyo pamoja na hilo jitahidini sana kuweka uzito kwenye familia zenu maana utumishi una mwisho, ila familia ni mwendelezo wa maisha na vizazi vyenu.

Nanyi wanaume jitahidini kuwapenda, kuwafundisha, kuwahurumia na kuwahakikishia usalama wake na watoto wenu. Msiwachokoze ili wasiwe na uchungu nanyi. Mtakosa baraka. Mkumbuke kutoa sadaka kwa watoto wenu ili milango yenu ifunguliwe.

Pia tambueni kuwa jukumu la kwanza kuhakikisha usalama na ustawi wa familia ni lenu bila kujali mke ana kipato au hana kipato. Na ikiwa wake wenu wanawasaidia iwe ni katika utafutaji ambao mnaufahamu na kuusimamia. Na kama ni watumishi, watieni moyo na kusimamia vipato vyao visitawanyike na mwisho wakatawanya na familia zao kwa kiburi.

Na zaidi muwe na muda wa kukaa na familia ili kujua wapi kuna tatizo na kurekebisha mapema.
Kumbukeni kuwa mwanaume mtumishi naye pia ni daraja la tatu la ubora wa mume. Hivyo ule udhaifu utaokuwa unajitokeza kwenye familia ni lazima kutafuta namna ya kuupunguza ili watoto wenu waje kuwa imara zaidi yenu.

Pia wanafamilia tianeni moyo katika changamoto zenu kwa kuvumiliana na kuhurumiana.

Tanbihi...

Uimara wako ni matokeo ya yule mama ambaye sasa ni mzee. Ikiwa alikuwa mtumishi, ubora wako unauona, ikiwa alikuwa mfanyabiashara pia vilevile na ikiwa alikuwa golikipa bado ubora wako ni matokeo ya muda na jitihada zake.

Amua aina ya familia yako kulingana na malezi bora uliyopewa na siyo unayoona kwenye TV na kuambiwa na wengine.

Tunavuna matunda ya tulichopanda usiku na sasa tunashangaa kuona matunda hayana mbegu kama zile tulizopanda usiku.

Ahsanteni.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
WHY THE SUMBAWANGA DC WAS SACKED.




It is sad that a DC is acting like the president covering herself in hijab, and she is not even a Muslim.

It is in bad taste, but of more damning is a whiff of insecurity, leaving us with questions that the regime lacks legitimacy to govern but has guns to keep it in power!


We know whoever advised her had no malice against anybody but a public servant mimicking her boss in attire, boisterous gait and flanked with gin touting women may have been an attempt to make another statement: "....wanawake tunaweza"

Her appointment as a female DC should have been sufficient to that effect without abseiling into ignominy.


Was the dismissal necessary.


We think not. The DC had misbehaved, but she could have been censured and left to her devices.

She has a lot of energy and could still have a positive role.

An impromptu dismissal was in itself in a bad taste because it was an overreaction akin of shooting down a mosquito while you could even batted it to death.










Your browser is not able to display this video.
 
Since the High Court misdirected itself on the definition of the word "sack" in the libel suit of Msechu vs the Citizen we see the compulsion to say that it is not demeaning.

Here is our reasoning.

The sack is a slang applied when somebody has been dismissed or discharged from work.

Discharged includes suspension because the affected employee is estopped from working.

We still find it objectionable that the Court could fault the defendant on using a slang.

Msechu was suspended meaning he was temporarily discharged from his duties as the CEO of NHC.

Was that untrue?

We say once again that interdiction is a sack pending final determination

So, the plaintiff was not defamed in any way.
 
Still at that invidious decision, we say during TAKUKURU interrogation, all the oral ejaculations are reduced in scrawled writings and in official forms, which the plaintiff scribbled his dated signature on each and every page.

How comes the High Court believed the "backpedalling" of the oral submission of the Plaintiff without any collaboration from these official documents is one of the legal terrain that we find extremely troubling.

Suppose the plaintiff had committed perjury when he disputed whether the Citizen paper contextualisation of the events at Takukuru was correct? How did the High Court came to the conclusion that the plaintiff was telling the truth without affidavits and sworn statements from Takukuru?

Is this really justice when Tshs 2.5 billion is slapped to the Defendants for disbursing their civic duty, and a finding if defamation is established without such weighty documentary evidence?

We rule that the trial Court was not in position to make a finding of defamation where:-

1) The president who put a negative light on the plaintiff was not sued, amounting to the plaintiff accepting the charges levelled against him. If he had qualms to his interdiction and grounds forwarded in a broad side, surely the president ought to have been the first defendant, and refusing to charge him the plaintiff lacked locus standi to charge remote Defendants. "Mjumbe hauwai" is very pertinent here.


2) The Plaintiff's claims he was defamed were I sufficient for the Court to make a finding to his favour because the law of evidence states that where documentary evidence is available oral evidence is impermissible. The plaintiff could have easily paraded NHC Board of Directors' minutes, NHC Chairperson affidavit, TAKUKURU Boss affidavits supported by the Plaintiff's written statements collected at TAKUKURU to prove his allegations that the Citizen had misrepresented his matter.

3) The damage awards were colossal, but nothing in the ruling supported those awards. The Court based its decision on the Plaintiff's wide affiliations to slap the defendant with huge payments but did not show those affiliations were in what ways affected before and after the publications were made.

4) The double damage awards in the name of defamation and general damages was an affront to the doctrine of "double jeopardy ":nobody should be punished twice, for the same offence. Precedent rulings of the Appeals Court says damages are either quantifiable or unquantifiable and can not be both because there is a danger of double payments. Even if we allude defamation damages were specific although we have faulted that supposition earlier in this discourse the Court had zero jurisdiction to evaluate and award general damages because by doing so they are vitiating their own ruling on defamation were specific damages!


5) The Court noted the plaintiff was reinstated but still said he was defamed the two diametrically opposite findings cannot lead to incurring any loss. If he was defamed he would not have been reinstated. How comes a reinstated employee suffered irreparable damages amounting to
Tshs 2. 5 bill is a contradiction only now the Appeals Court can impugn once and for all.


6) The Court had rebuked the plaintiff for ridiculous claim the presidential broadside against him was not libellous but still found him a credible witness who can represent documentary evidence is a narrative which need sorting out sooner than later.

7) Having making a finding that the presidential public statements against the plaintiff were negative and acerbic the Court ought to have dismissed the application on want of "misjoinder of the defendant." Had the plaintiff really been unhappy with the contents of the said publication the first person to be charged was his employer nobody but the president. He did not then the defendant could not be charged, at all.
 
Air Tanzania clash with Airbus over two grounded aircraft.

The CitizenMar 11, 2023 2:37 PM


The saga of Air Tanzania’s two Airbus A220 planes which have been grounded has taken a new course after the carrier took the matter to the African Airlines Association (AFRAA) with four African airlines collaborating to pressurise the manufacturers to find a solution.

The two planes have been grounded since October 2022 due to failure of its engines with the manufacturer allegedly failing to secure new engines in the process causing losses to its customers who purchased the planes, including ATCL.

Currently, ATCL has a fleet of 12 aircraft, of which three are grounded due to technical and legal issues, including two Airbus with the capacity to carry between 120 and 160 passengers.

Speaking on the state of the carrier ATCL’s Director General, Ladislaus Matindi said that along with the plans they have to ensure that they provide a stable service to meet the growing demand of the market, this has been interrupted by the problem of travel delays.

He was speaking on Friday March 10, during a fourth meeting of the second council of ATCL employees which took place in Zanzibar, Mr Matindi reiterated that they are continuing to press the manufacturers in collaboration with other airlines that purchased similar planes.

"At the moment we are collaborating with other organizations that use such planes, including Air Senegal, Egypt to solve this problem quickly," he said.

He said that the African Airlines Association has decided to intervene to make sure the manufacturer complies.

According to him Egypt has 12 aircraft of that make and out of which 10 have been grounded for similar defects.

He said that the manufacturers will have to pay ATCL compensation as spelt out in the contract, but it has taken a long time now and now it is no longer the issue of compensation, instead it is about the mounting losses that the company is incurring.

Mr Matindi did not however state how much losses the carrier was making as a result of the grounding of the two aircraft.

He said that the only viable solution is for the manufacturer to offer the carrier new engines or planes that can be used in the short term as they figure out the repairs of the grounded aircraft.

In another development, Matindi said ATCL is set to receive 5 new planes, including a Boeing 767 cargo plane with a capacity of 54 tons that will be the first to be used in the country.

He said right now there is a lot of cargo, with Zanzibar alone accounting for six to eight tons every week, but they can only transport two tons, especially those of sea products that are in high demand in China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…