BREAKING: Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba alitembeza hela nyingi sana kwa vijana ili afikapo kariakoo, apokelewe kama shujaa. Vijana wasiopungua 270 walipokea kati ya 20 hadi 50K ili kushiriki kumshangilia. @SuluhuSamia anachezewa vibaya mno na Hawa mawaziri waliokataliwa na JPM