New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

DC serves at the pleasure of the appointer
He did not seek but was asked to be employed and can be axed at any second and without reason.

DC never attended an interview and hence cannot seek remedies under the civil service regulations.

If the president can hire the DC impromptu the she can fire the same without reason

So this litigation is really a wastrel.
 
Hadhi maalumu ya uraia siyo haki ya kikatiba kwa hiyo hata sheria ikitungwa itakuwa inakiuka katiba


Lakini uraia pacha ni haki ya kikatiba ambayo sheria za upotolo haziwezi kutengua.


Tangia tupate uhuru, hakuna raia aliyeukana uraia kwa misingi tu ya uraia pacha.


Kuukana uraia siyo uraia pacha ball ni TAMKO la Waziri wa Mambo ya ndani kwa mhusika ya kuwa kaukana uraia wake na tamko hilo lazima lisajiliwe kwa msajili kabidhi.


Huu utaratibu haujawahi kufuatwa kwa raia yeyote na kuiacha sheria ya hadhi maalumu kuwa kioja kama hawa maprofesa majimarefu walivyo vioja kwa kuongea kwa kujiamini huku ni wanashusha pumba za uhakika wakidhani wataaminika kwa kuzoza wakijiamini. Wasichojua siyo kila mtu hupotezewa maboya na medani za kiutapeli. Hatukubali kutapeliwa.


Hawa matutusa wanafikiri wao ndiyo pekee wanazijua sheria wakati ni mbumbumbu watupu na kauli zao ni ushuhuda tosha.


Huwezi kuzungumzia hadhi maalumu ya uraia wakati haipo kikatiba na wala huwezi kuzungumzia hilo wakati huna hata raia mmoja aliyewahi kuukana uraia kwa msingi tu wa uraia pacha


Ili iwe hivyo tamko.la waziri wa mambo ya ndani liko wapi na lini lilisajiliwa ma kupata nguvu ya kisheria?


Jibu hayupo mtanzania aliyewahi kupitishwa kwenye huu utaratibu tangia tupate uhuru na kufanya jitihada za kutoa haki feki za uraia maalumu kudhibitisha bila shaka yoyote ile jitihada hizi ni kupoteza muda bure
 
Hey, you have problems It thinks it's hunger, borrowing is a normal thing until to day the ccm government has debts until it can't pay.
 
Bunge DHAIFU la CCM limepitisha azimio la kubinafsisha bandari ya DSM kwa kampuni ya DP World ya Dubai kwa miaka 100 hadi 2123.

#MyTake:
1. Maamuzi haya yamelenga kunufaisha watu wachache na kufuta urithi kwa vizazi vijavyo. Mwaka 2123 hakuna yeyote kati yetu atakayekua hai. Maana yake tumeamua kuwaachia msalaba wajukuu zetu ambao hata hawajazaliwa.

Unadhani Nyerere alishindwa kubinafsisha madini, bandari, mbuga za wanyama? Angeweza but alifikiria vizazi vya baadae. Ila sisi tumeamua kuuza urithi wa vizazi vyetu kwa tamaa ya muda mfupi. Tukikubali huu ujinga wajukuu zetu watapiga viboko makaburi yetu.

2. Kagame aliwahi kutukejeli tumpe bandari ya DSM atupe nusu ya bajeti ya nchi kila mwaka. Tukaona ametudharau. Lakini leo tunajiuza "cheap" kwa waarabu. Hakuna cha nusu wala robo ya bajeti. Kama tumeshindwa kuendesha bandari si bora tungempa Kagame, maana heri mwendawazimu uliyemzoea kuliko kichaa mpya.

3. Kampuni ya DPWorld inatuhumiwa "kupora" bandari nchi mbalimbali kwa kigezo cha uwekezaji. Bandari ya Sarubaya (Indonesia), Batangas (Ufilipino), Palao (Peru), Dakar (Senegal), bandari ya Djibout etc. Huko kote vimebaki vilio. Badala ya kujifunza, tumejipeleka kichwakichwa tukale za uso.

4. Katika kuonesha jinsi bunge lilivyo DHAIFU, limetoa siku 1 tu wananchi kutoa maoni yao. Yani jambo litakaloathiri maisha yetu na vizazi vyetu kwa miaka 100 ijayo litolewe maoni siku 1? Hawa watu wana kichaa? Halafu maoni yatolewe ukumbi wa Msekwa, uliopo bungeni. Ebo.!

Bandari inagusa maisha ya kila mtu, kuanzia mkulima wa Runzewe hadi Mwalimu wa Ludewa. Magari, mafuta, vyakula, nguo, pembejeo vinapita bandarini. Kugusa bandari ni kugusa maisha ya kila mtu. Ingeundwa kamati kukusanya maoni nchi nzima, sio kusema watu wakatoe maoni ukumbi wa Msekwa. Mwananchi wa Namtumbo anafikaje Msekwa?

5. Wananchi kataeni upuuzi huu. Mkinyamaza kwa kuona ni jambo la kisiasa msije kulia baadae. Maana mna "kaupuuzi" ka kunyamaza mkidhani waathirika ni wanasiasa tu. Utadhani bei ya petrol inapanda(ga) kwa wanasiasa tu. Siku yakiwachachia ndo mnaomba kupaziwa sauti. Ukikaa kimya usiombe kupaziwa sauti. Sauti zetu tutapaza kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.!
 
l support the agrument one hundred percent, let's join together and oppose this sheft.
 
l support the agrument one hundred percent, let's join together and oppose this sheft.
Sasa hivi polepole ninaanza kumwelewa JPM.


Pamoja na mapungufu yake mengi lakini alijjivunia utu wa utanzania wake.


Kamwe asingewakabidhi waarabu bandari ya DSM.

Bunge la CCM ni la hovyo sana lipo kutetea ukoloni mambo leo.


Huyu mama naona anakazana kuwamilikisha waislamu wenzie tena waarabu nchi yote.


Ama kweli muislamu ndugu yake ni muislamu.


Nitashangaa kama hana hisa kwenye hiyo kampuni ya waarabu itakayoendesha bandari ya DSM kwa miaka 100.


Hapa nionavyo hakuna masilahi ya taifa bali KUUZA nchi kwa masilahi binafsi.

Kama anawapenda sanaaaaaaa waarabu waislamu wenzie na pengine ana mikakati ya kutumia udini kutusilimisha sote tuwe waislamu kwa kuhodhi njia kuu za uchumi kwani tunakoelekea ajira kupata kwenye hizi kampuni za waarabu itabidi uwe SUNNI au hakuna kulambalamba.

Na kama hakuna kulambalamba basi hakuna hata kupata choo iwe ndogo au babu lao [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787] [emoji23] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16]
 
Taarifa ya uchambuzi ya uuzaji/ ukodishaji wa bandari Dar kwa usiri (IMEAMBATANISHWA).


Viapo vya nataka iwe siri vyawasili.


Ukiona nchi kwenye viapo vyao msisitizo ni kutunziana siri ujiulize uficho tajwa una masilahi yapi kwa taifa.


Siri ni dhambi siyo utakatifu.


Lakini dhambi huwezi kuificha ile maandiko yatimie


"The Lord catches the crafty by their own craftiness."


View attachment UCHAMBUZI WA SEKRETARIET (1)_230606_231229_230607_135239.pdf
 
When your president is feted abroad you need to ask yourself WHY?


The only explanation she is gonna sell you in a day broad daylight!

JK is behind all this nonsense. We seriously doubt she is running the show.

JK is the power behind the throne...our president is now a nominal figure, and JK runs the show....appointing his cronies in the government, shaping and reshaping the public policy to hand over prime assets to Islamic Arab nations.

Islamization of the public institutions very much in full throttle.

We also anticipate top jobs' lionshare will go to Muslims now as the the major means of the economy are doled out to Arabian empires whose sole purpose is to promote their own religion.


 
Makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Falme ya Dubai kama yalivyo kwenye mkataba huu hayakubaliki kwa sababu zifuatatazo:

(1) Makubaliano yataleta mgogoro kati ya wananchi wa Tanganyika na wa Zanzibar na hivyo kuendelea kuhatarisha Muungano.

(a) Wakati mkataba umetiwa saini na Waziri Makame Mnyaa Mbarawa, Mzanzibari, kwa mamlaka aliyokasimiwa na Rais Samia Suluh Hassan, Mzanzibari pia, mkataba wenyewe unahusu bandari zote zilizopo upande wa Tanganyika peke yake.

(b) Bandari zote za Zanzibar hazihusiki na mkataba, licha ya ukweli kwamba ..bandari ni mojawapo ya Mambo ya Muungano kwa mujibu wa Katiba ya sasa.

(c) Swali la wazi hapa ni, je, kama kweli mkataba huu una manufaa makubwa kwa nchi yetu kama inavyodaiwa na serikali na CCM na wapambe, kwa nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye mkataba huu?

(d) Katika mazingira haya, Watanganyika wana haki ya kuhisi kwamba Wazanzibari hawa wawili wanagawa mali za Tanganyika kwa wageni kwa faida zao binafsi, wakati wakilinda mali zao wenyewe.

(e) Kuuruhusu mkataba huu kuendelea ni kuruhusu chuki dhidi ya Wazanzibari kuanza ...kujengeka miongoni mwa Watanganyika. Huku ni kuhatarisha mahusiano katika ya Wazanzibari na Watanganyika jambo ambalo linahatarisha Muungano moja kwa moja.

Mhe. Freeman Mbowetz, June 7, 2023
 
KWA HERI BANDARI [emoji24]

Mkataba Kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DPW ya Emirates Dubai umeacha maswali mengi na kuamsha hisia za kudai Katiba mpya kwa nguvu zote.

Ni mkataba ambao ulisainiwa kwa mwendokasi bila kuchukua tahadhari juu ya madhara yake yaliyo dhahiri. Mkataba huu haukubaliki kwa sababu nyingi Sana.

Moja , ni mkataba wa milele kwa sababu hauna ukomo. Najua wapo waliosema ni wa miaka 100 na wapo waliosema ni wa miezi 12.

Hawa wote sijui wametoa wapi huo muda wa mkataba. Ibara ya 23 ya mkataba na randama zake (appendixes) zake hakuna popote zinaonyesha mkataba huu ni wa muda gani. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni mkataba wa kudumu.

Ni kweli unaweza kuwa miaka mia lakini pia hakuna Cha kuzuia uwe wa miaka 1000.


Pili, mkataba huu unanguvu kuliko Sheria za Tanzania pamoja na Sheria za kimataifa ( Takes precedent over national and international law)

Mathalani Ibara 23( 4) hairuhusu kuvunja mkataba huu hata pakiwa na ukiukwaji mkubwa ( material breach) au kukitokea hali inayopelekea mkataba usitekelezeke ( fundamental change of circumstances) ambalo ni Takwa la mkataba wa kimataifa uitwao Vienna Convention on the Law of Treaties,1969 ambao Tanzania imejifunga nao.

Sasa hii tafsiri yake ni kwamba baada ya kusaini mkataba huu hata Dubai wakikiuka kabisa hatuwezi kujitoa. Hicho ni kitu Cha ajabu mno dunia itatushangaa.


Mbaya zaidi mkataba hausemi je una nafuu ili mbadala ukiachilia mbali kuvunja mkataba.

Kifungu Cha 23( 4) kinaenda mbali zaidi na kusema ikitokea sababu yeyote inayotambulika kwenye Sheria za kimataifa ya kupelekea kuvunja mkataba bado mkataba huu hautavunjwa.Tafsiri yake ni kwamba tumeingia kwenye shimo ambalo halina pa kutokea( coup de sac) .

Tatu , mawanda ( scope ) ya mkataba pia ni mapana, ni Kama hayana ukomo. Ibara ya 2(1) itaruhusu muwekezaji kujenga na kuendesha miradi ya bandari za Bahari na maziwa yote.

Mkataba unakwenda mbali zaidi hata kwenye kile kinachoitwa logistic parks na trade corridors ambazo bahati mbaya hazijatafisiriwa kwenye mkataba.

Kwa namna mkataba huu ulivyo sisi tutakuwa tumepoteza udhibiti wa bandari zote za bahari na maziwa yote.

Mkataba ungeweka wazi ni bandari zipi hasa kwa sababu kwa namna ya Sasa hata usalama wa nchi unaweza kuwekwa rehani.

Nne , mkataba hausemi sisi tutapata nini( consideration) kwa maana ya faida za mradi. Je sisi tutakusanya Kodi tu? Au tutakuwa wabia?

Tano , mkataba hauonyeshi nafasi ya mamlaka ya bandari( TPA) ni ipi katika uendeshaji wa mkataba. Kumbuka kwa mujibu wa sheria TPA ndo chombo chenye mamlaka ya kuendesha bandari zote. Sasa je mkataba huu umefuta sheria hiyo? Kwa mamlaka gani?

Mkataba hauelezei kuhusu usalama wa mapato yetu bandarini na nafasi ya vyombo vya ulinzi na usalama kwaajiri ya usalama wa nchi yetu hasa kwenye marine.

Nafasi pekee ya TPA kwa mujibu ya randama ya kwanza imeachiwa kuendesha na kusimamia " DHOW AND WHARF TERMINAL" ya bandari ya Dar es Salaam.


Sita , pamoja na kuweka kipengele Cha local content ili kunufaisha wazawa kwenye ajira na manunuzi kwenye ibara 13( 2) ibara hiyo haina maana yoyote Kwanza kwa sababu haiweki wazi kwamba threshold ya wazawa kwenye ajira itakuwaje.

Pili hata procurement( manunuzi) ya vitu au items au huduma zinazopatikana ndani hailindwi na mkataba kwa sababu kwa mujibu wa ibara ya 6(2) ya mkataba huu serikali yetu hauruhusiwi kufanya usumbufu wowote (interference) yoyote hata kwenye manunuzi yanayokiuka Sheria isipokuwa tu Kama yanahatarisha usalama( safety and security).

Sasa je wakiamua kuagiza mbao Dubai wakati hapa nchini zipo utawazuia kwa kigezo Cha usalama?

Saba , mkataba hausemi nani atawajibika kulipa fidia yoyote inayotokana na utekelezaji wa mradi pamoja na watumishi ambao ajira zao zinaweza athiriwa na mradi.

Nane , pamoja na kwamba ibara ya 26 ya mkataba inaelekea kuruhusu reservation utagundua kwa namna ibara ya 24 ilivyo imepoka kwa mkono mwingine haki ya reservation iliyopo kwenye ibara ya 26 hivyo sioni uwezekano wa nchi yetu kufanya reservation kwenye makubaliano bila kukwaza mkataba.

Kwa namna ya mkataba huu tukifanya reservation Sasa ivi inaweza kupelekea nchi iingie kwenye mgogoro wa kukiuka mkataba.

Tisa , hata kuridhiwa kwa mkataba huu na Bunge tayari umefanyika nje ya muda.

Ibara ya 25(2) ilitaka mkataba uridhiwe ndani ya siku 30 tu na leo ni zaidi ya miezi Saba.

Kumi , kwa mujibu wa ibara ya 8(3) (c ) mkataba huu ni kama unatoa umiliki wa ardhi kwa mwekezaji kinyume na Sheria ya ardhi.

Kwa mujibu wa sheria ya Ardhu Sura ya 113 Kampuni ya kigeni hairuhusiwi kumiliki ardhi Tanzania.

Tulitegemea mkataba useme ardhi zitakuwa chini ya TPA au mamlaka nyingine za serikali na wao watapata derivative rights badala ya kuwapa ardhi kwa mgongo wa lease hold.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Kumbeeeeee hawa wazenj wanatuuza mchana kweupe


Walikula Loliondo sasa Dar port halafu mbunga zote watawakabidhi waarabu watapomaliza kuuza kila kitu biashara ya utumwa itarudi

Na sisi watatuingiza sokoni.


Muungano ni kaa la moto

Miundombinu siyo swala la Muungano lakini wazenj wamekatamata mnofu bara na visiwani


Haitachukua muda wizara zote watachukua

Ukiona mkataba hauongelei ukomo ujue wakoloni wamerudi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…