Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #8,841
Huko nyuma wakati wa Mkapa kuna Mkuu mmoja wa Mkoa wa Arusha inasemekana (hatuna ushahidi) alikuwa anahongwa kilo moja ya TANZANITE kila mwezi na wawekezaji wa AFGEM.
Kilo moja ya TANZANITE "B" wakati huo ilikuwa Tshs 70 Mill.
Kwa hiyo, kila mwezi Mheshimiwa alikuwa anatudhulumu Tshs 70 Mill.
Aliposikia AFGEM kuna vuguvugu la kuwatimua alitishia kujiuzulu ukuu wa mkoa
Alipima Tshs 70 Mill alizotupora kila mwezi na mshahara wa ukuu wa Mkoa aliona hailipi.
Huyo ni Mkuu wa Mkoa, waziri wa madini na Mkapa hatujui lakini inabidi tuhisi ugali wao ulikuwa mkubwa maradufu ya huo.
Huu ndiyo uwekezaji wa TZ.
Lengo lake ni kuhamisha utajiri wa nchi na kuwanufaisha viongozi wa CCM wachache na ndiyo maana wamelishinikiza bunge wawekezaji wa aina hii ya DP WORLD wasilipe kodi za aina zote ambazo wengine wanalipa.
Mzigo wa kodi kwa wanyonge utaendelea kukua kwa kasi ya ajabu na kuwa shuhuda asiyepingika ya kuwa uwekezaji kutoka nje hauna tija kwa nchi zaidi ya kuchochea misuguano kwenye jamii.