New administration under Samia Suluhu gives hope after 5 years of hopelessness

Barua isiyo na kichwa wala miguu. Nani kakwambia mkutano wa kisiasa unahitaji ulinzi? Isogezwe tarehe hadi lini? Hutatui kero bali unazikuza. Unayemwandikia hana jina au cheo. Hivi aliyekuandikia na unamjibu hana jina au cheo?

Huu upuuzi wa jeshi la polisi utaendelea hadi IGP na DPP watakapotimuliwa. Vinginevyo, hotuba za Mheshimiwa ni maneno matupu yasiyovunja mfupa.

 
Which country do you live in? Must be utopian nation where wishes are pure gold....

CCM never needs voters to stay in power...they only need to mercenaries of hire who can keep them there by declaring the results they want....so, once this killer assumption is deposed of we have nothing else to add.

Code:
[IMG]CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) TUSAIDIENI.

1. Nchi imegawanywa katika makundi makubwa mawili. Kundi la kwanza linaongozwa na Viongozi wenye kuona kuwa JPM hakua mtu sahihi. Hawa wengi ni majeruhi wa Uongozi wa JPM kwa namna moja ama nyingine, wengi miradi yao haramu ilikufa. Kundi la pili linaunganisha wananchi wengi walioguswa na uongozi wa JPM. Hawa wanaona hospitali zimejengwa na huduma za afya zimesogea, watoto wanasoma bure, wanapata maji, umeme, barabara zinafikika, masoko, uhuru wa biashara. Wanaona kwa macho miradi mikubwa imejengwa ikikamilika itawasaidia na mambo mengine mengi. Nchi inakwaruzana CCM kimya, ipo kama haioni, haiwaonyi viongozi wake wala kutoa muongozo wowote. Utaratibu huu ukiendelea nchi itapasuka, wananchi hawatakubali kwa namna yoyote miradi iliyoasisiwa na JPM isifike mwisho kama anavyoshauri Muhongo, wananchi hawatakubali kunyanyaswa tena na wawekezaji kwa kisingizio cha kuwavutia kama ambavyo imeanza kutokea, Machinga na Mamantilie hawakubali shuruba katika biashara zao, nk.

Ushauri kwa CCM.

Nimekwishashauri, nashauri tena. CCM iitishe Kamati Kuu ya dharula isingoje Mkutano Mkuu wa April 30. Iitishe Kamati Kuu itoe kauli na muongozo, iwapige marufuku Viongozi wake kuendeleza mjadala huu hasa Bungeni. Serikali hii ni ya CCM, kuendelea kujibishana huku tutatofautiana kauli. Endapo Viongozi wakishinda kwa sababu ya madaraka yao wananchi tutaisubiri  CCM ifikapo 2025 tuiadhibu. WanaCCM wengine tutaungana na Wananchi kuiadhibu CCM kwa sababu itakua imetaka yenyewe. JPM anaweza kuwa sababu ya CCM kufa au kubadilika, na kuimarika zaidi. Hakuna shortcut, CCM tusaidieni.

2. Serikali imekubali kuendelea kujitukana yenyewe. Bunge linaikashifu Serikali, CCM yenye Serikali na Bunge ipo kimya. Spika wa Bunge kusema kuwa Rais Magufuli hakushauriwa vizuri kuhusu mradi wa Bagamoyo maana yake Bunge limesema Rais hakushauriwa vizuri. Washauri wa Rais ni Makam wa Rais, Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri. Kwa kauli ya Ndugai (Bunge) maana yake ni kwamba aliyekuwa Makam wa Rais wakati wa Rais Magufuli hakutimiza wajibu wake sawasawa, aliyekua Waziri Mkuu wakati wa Rais Magufuli na Baraza lote la Mawaziri hawakutimiza wajibu wao. Huku ndiko kunaitwa kutokua na imani na Serikali kwa mujibu wa Katiba. Maana yake kwa kauli hiyo Bunge halina imani na Serikali na Serikali inapaswa kuanguka. Aliyekuwa Makam wa Rais ndie Rais sasa, aliyekua Waziri Mkuu ndie Waziri Mkuu sasa na karibia lililokua Baraza la Mawaziri lote ndilo Baraza la Mawaziri sasa. Kwa kauli ya Ndugai (Bunge) watu wote hawa hawafai, hawastahili kuwepo kwa sababu hawawezi kutumiza wajibu wao ipasavyo. Kwa nchi ya watu wastaarabu Serikali ilipaswa kuvunjika yote tangu kauli ya Spika ilipotoka au Spika wa Bunge alipaswa kuwajibika kwa kuichafua Serikali. CCM inaona vyombo vyake vinachafuana ipo kama haipo.

Ushauri kwa CCM.

CCM ivunje Serikali yake au imuwajibishe Spika wa Bunge. Ni rahisi mno, CCM iwaelekeze Wabunge wake kupiga kura ya kutokua na imani na spika kwa kuichafua Serikali au kama Spika yuko sahihi CCM iwawajibishe Wanachama wake Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Mheshimiwa Kassim Majaliwa na Waziri wa fedha wa wakati huo (Makam wa Rais wa sasa) kwa kushindwa kumshauri vizuri Rais wa Nchi na kwa uzembe huo Serikali inaweza kupata hasara kubwa. CCM ikiwawajibisha watu hawa, kwa kuwaondolea Uanachama, Serikali itaanza upya. Tume itaitisha uchaguzi mpya!! Tunafunga mjadala.

CCM ikiendelea kulea tatizo hili litakapokuwa sugu ijiandae kupata hasara kubwa mbele ya safari. Nchi haiwezi kwenda kwa namna hii ikizozana asubuhi hadi jioni, marehemu akichafuliwa bure. Nchi inajua Magufuli amefanya mambo makubwa kwa kipindi kifupi mno kuliko yeyote na haitarajiwi mwingine yeyote kumfikia. CCM ilinde heshima hii isiharibiwe. Aliyekuwepo na aliyepo wote ni CCM, Bunge na Serikali vyote ni CCM. CCM ndio yenye wajibu na Nchi hii hivyo ni lazima tuchukue hatua mapema za kudhibiti dalili hizi zenye kujenga uhasama katika Nchi. Imeandikwa; Usipoziba UFA utajenga UKUTA.    [/IMG]
 
Inabidi tuwe na kifungu kama kwenye katiba ya Ireland ambapo mahakama kuu inaweza ikalazimu majadiliano ya vikao vya baraza la mawaziri yawekwe wazi kwaajali ya utoaji haki mahakamani au kwaajili ya jambo lenye manufaa kwa umma.

Article 28 section 4 subsection 3(i)(ii) - Constitution of Ireland

 
Looking at the CCs on the bottom, like why would all those people need to be informed e.g TISS, FFU, DC, CID. Seems like whatever the opposition does, needs to be under the watchful eye of every government officer.

Instead of focusing on worthwhile issues, copies are sent to update on the opposition activities. Smh
 
Huu MWAMBA ulikuwa wapi wakati JIWE "ananyolosha inji"? Sasa nimeamini maana ya paka akiondoka panya hutawala View attachment 1748769
Mbowe needs to step down. Chadema needs new blood at the helm. Somebody fearless and aggressive.

Mbowe is too easily tamed. Mostly due to his business interests, they easily get to him.
 
This regime is insecure because it is not solving problems of wananchi so it deludes itself by containing the opposition is a recipe to prolong herself in power while the opposite is true
 
Mbowe needs to step down. Chadema needs new blood at the helm. Somebody fearless and aggressive.

Mbowe is too easily tamed. Mostly due to his business interests, they easily get to him.
Mbowe is a political conman. He is powermonger and is using CDM to line up his pockets.

Everybody in CDM is a hypocrite because they cannot pressure him to quit. He changed CDM constitution to make himself a lifetime president which is red flag if CDM ever comes to power will rip up the constitution to perpetually stay in power like Museveni and Kagame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…