New Age Paganism

Zamani watu walikua wastahimilivu sana na walikua na vifua sana mtu anafarijiwa kanisani/msikitini lkn hamna cha maana anachopata na haoni kama ni shida, ila vijana wa saivi maisha yamekua magumu umletee porojo za utakua billionea kwa maombi?
Vijana wa kilokole kila siku watamkiwa POKEA ,miaka inasonga na hakuna cha maana wanachopokea ila wapo tu .
 
Kuhusu kukubali au kukataa inategemea na uzito wa hoja ambayo utaiwakilisha.
Na hilo ndilonswali langu.

Nikileta hoja nzito na ya kushawishi kabisa, iliyo kimantiki kabisa, ya kuonesha Mungu hayupo, kimantiki, utakubali hayupo?

Au utaishia kutetea imani yako by any means necessary?
 
Vijana wa kilokole kila siku watamkiwa POKEA ,miaka inasonga na hakuna cha maana wanachopokea ila wapo tu .
Hao wanao enda kwenye makanisa ya kupokea miujiza basi nao ni kama wapagani tu kwani hakuna ukweli huko zaidi ya kukamuliwa pesa tu kila siku.
 
Umesahau, "kwanza dini tumeletewa"
"Dini haikupeleki mbinguni"
 
Na hilo ndilonswali langu.

Nikileta hoja nzito na ya kushawishi kabisa, iliyo kimantiki kabisa, ya kuonesha Mungu hayupo, kimantiki, utakubali hayupo?

Au utaishia kutetea imani yako by any means necessary?
Mimi nahitaji nifahamu hiyo logic yako kuhusu Mungu, ni vyema kufahamu mitazamo ya wengine hata kama hutokubaliana nayo.
 
Hao wanao enda kwenye makanisa ya kupokea miujiza basi nao ni kama wapagani tu kwani hakuna ukweli huko zaidi ya kukamuliwa pesa tu kila siku.
Jinsi wewe unavyowaona wao na ndivyo wewe pia ulivyo , ufahamu wako umeshikiliwa kwenye kifungo cha ahadi na vitisho kama wao tu .
 
Jinsi wewe unavyowaona wao na ndivyo wewe pia ulivyo , ufahamu wako umeshikiliwa kwenye kifungo cha ahadi na vitisho kama wao tu .
Kama ni kifungo basi nipo tayari nifungwe milele, sitiweza kumkana Mungu kamwe.
 
Hakuna kiyu kama hicho.
Watu mnaamini dini za kikoloni ambazo lengo la kuja kwa dini hizi ilikuwa ni kuwatawala kifkra na kiuchumi.
Angalia Waarabu (waliowaletea dini ya Kiarabu) walivyo wabaguzi na wakatiri hasa kwa ngozi nyeusi.
Angalia wazungu waliowaletea dini ya Kikristo wanavyo wanyanyasa kifikra na kiuchumi.
Nashauri vijana wa sasa waondokane na ukoloni wa kidini.
 
Mimi nahitaji nifahamu hiyo logic yako kuhusu Mungu, ni vyema kufahamu mitazamo ya wengine hata kama hutokubaliana nayo.
Sawa.

Nikikuonesha kwamba logic inaonesha Mungu hayupo na hawezi kuwapo, logically, utakubali Mungu hayupo?

Au utasema Mungu ni zaidi ya hiyo logic na hivyo logic haiwezi kuonesha Mungu hayupo?
 
Sawa.

Nikikuonesha kwamba logic inaonesha Mungu hayupo na hawezi kuwapo, logically, utakubali Mungu hayupo?

Au utasema Mungu ni zaidi ya hiyo logic na hivyo logic haiwezi kuonesha Mungu hayupo?
Bado unajiuliza na kujijibu mwenyewe, nasubiri ueleze hiyo logic
 
Kupenda dini na kumpenda Mungu ni tofauti ikiwa unampenda Mungu kweli basi usijiwekee mipaka .

Sehemu pekee inayowakwamisha watu wa dini ni kujiwekea mipaka .

Mungu ni omnipresent na ni omnipotent Mungu hana mipaka na yupo mahala popote.

So katika kufanya 'manifestation' ni jambo la kweli na linatokea Mimi huwa nafanya Sana manifestation katika baadhi ya mambo yangu.

Ikiwa jambo haulielewi usilibishie Ila jaribu kulichimba kwa ndani.

Mambo ya kiroho hayana mipaka unaweza kutoka hapo ulipo na ukachungulia Mahala popote duniani maana universe imeunganishwa ni kitu kimoja.

Follow ur heart - hii ni kweli
Manifest ur dream - ni kweli

So dig more knowledge u will become smarter than you used to be.
 
Sawa, ila wengine tunashukuru kwa kuletewa mfumo mzuri wa namna ya kumuabudu Mungu kuliko kuendelea kuchinja mbuzi makaburini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…