CUF-chama cha wananchi, kinawatangazia wanachama na wananchi MAANDAMANO MAKUBWA YA KUPELEKA RASIMU YA KATIBA MPYA KWA WAZIRI wa katiba/sheria siku ya j/nne tar 28/12/10 saa 2 asub. Kuanz BUGURUN-WIZARANI na kufuatiwa na mkutano wa hadhara Mnazi mmoja. Source kipeperushi