NEW ALERT: Tarehe 16 Agosti 2022 tuna jambo letu

NEW ALERT: Tarehe 16 Agosti 2022 tuna jambo letu

TTCL Customer Care

Official Account
Joined
Aug 18, 2016
Posts
279
Reaction score
317
Mshtue na mwenzio, sio jambo la kukosa hili.
#RudiNyumbaniKumenoga
May be an image of big cat, outdoors and text
 
Yani GB 15 nilikua nanunua 22500.kwa ss ni 37500.hii hatare mnooo
 
Yani GB 15 nilikua nanunua 22500.kwa ss ni 37500.hii hatare mnooo
Bei za TTCL ni kwamba haiwataki wateja na inawasukumizia makampuni binafsi ambazo nazo zinapandisha bei kukicha na kuwaibia watumiaji bando. Mfano kuna siku niliweka bando 1.1GB ya siku3 Airtel nikazima data. Kufungua data baada nakutana na option ya kununua bando ile niliyoweka bila kutumia imeisha, Vodacom nao ni wiz huo huo kwenda mbele
 
Dsm TABATA Kimanga internet inasumbua sana. Mnafeli wapi? Taasisi kubwa ya umma kama yenu
 
Back
Top Bottom