New... ARDHI UNIVERSITY TUKUTANE HAPA....!

Darius

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
1,951
Reaction score
320
Ukipenda paitee uclas...! Chuo kinafunguliwa tar 7/oct/2013 for first year orientation na tar 14/oct..! Kwa continous! yoyote anajua tarehe nyinine tofauti na hizo hapo juu
 
kwa maana hyo 1st year wanatakiwa waripoti trh 29? coz nimeskia orientation inaanza tarehe 30. sa sijui inakuaje
 
kwa maana hyo 1st year wanatakiwa waripoti trh 29? coz nimeskia orientation inaanza tarehe 30. sa sijui inakuaje

ndo hivyoo bt anytime unaweza kwenda aru pale chuoni kuchukua registration form na admission letter.!
 
Kwa nijuavyo continous wanafungua tarehe 14 mwez wa kumi na fist year tareh 7 wanaanza orientation......
Izo registration form hata msiwe na haraka nazo we njoo zinapatikana hapa hapo chuon kwa bei ya cop tu...
Hapa chuo ishu kubwa ni hostel ndo hazitosh lakini mpango wa kitabu ni poa 2.....
 
thnk you. naomba procedures za kupata hivyo vitu, je kuna hostel za in campus?
 

mkuu hv ni kweli mnashea hostel pale mabibo...!
 
Jaman wana ARU wenzangu tupeane contact basi,mm nimechaguliwa geomatics..si mnajua vyumba mtiti pale,so akipata mmoja atambeba na mwenzake,,,my contact 0778138018,all the best guys
 
chuo ni tarehe 14 kweli kwa continous na 07 kwa freshers na kuhusu vyumba nikweli mtiti
pia kwa taarifa nyingi kuhusu shule yetu ya ARU unaweza ukaingia ktk page yetu wana aru wote facebook ipo kwangisha jina la aridh university and unaweza pia ukikosa wa kukubeba na muda ndo huu coz ukichelewa imekula mana watu ni wengi mno but for more information nitafute through 0719920900
 

Poa kaka tutakutafuta tupate maujanja
 
Hostel sio kwamba 2nashare ila ni kutokana na uhaba wa hostel hapa chuoni xo inalazimika kwenda kutafuta m2 ambaye unamfahamu huko mabibo ili akubebe au ikiwezekana akuuzie chumba....
 
Angalizo: chuo kinafunguliwa tarehe 14/10 bt tarehe 07/10 ni frst year reporting date and orientation starts. Pia kufuatia Mwl Nyerere day , tunadhani kuwa repoting day ya first year likely to open officialy either on 21/10 and studies to beggin on 27/10 kwa mabadiliko yoyote mtajulishwa, sisi ni wadau wa serikili ya ARUSO hivo hatutapenda watu wasio wanaARU kutoa tarifa potofu. Take it from me,,,

Kuhusu kupata room ni mpaka ulipie ada ( tuition fees) na michango mingine muhimu kama ilivoanishwa ktk fomu ya usajili, hivo unavyokawia kuripoti na kujisali ndo unajinyima hski ya kupata room. Ikumbwe kwamba majina ya waliopata room huanzia namba moja ya aliekua wa kwanza kuripoti na kulipia tiution fees ndipo wa mia nne aliekuwa amefikia namba hiyo ktk ulipiaji tuitoon fees na kukamilisha usajili.

Huruhusiwi kufanya malipo ya accomodation mpk umepangwa kwa jina toka kwa bursor ambapo ukilipia benk utarudi tena kea busor utapewa namba ambayo utarnda nayo kwa wadeni na kupewa godoro. Watu 400 tu watakaa hosteli wengine tafteni rooms mitaani. Mwenye wasiwasi na mahali pa kufikia PM soon, usaidiwe
 

polen_miaka yetu(1998_2002) course yenye wanafunz wengi kwa darasa ilikuwa 20 hivyo vyumba vilikuwa vingi mpaka ukipenda unalala chumba chote pekee_sema uoga na kampani ya kusoma usiku ndiyo ilikuwa inasababisha kuchangia vyumba_kila la heri wandugu
 

thanx kaka..admission latter zinaanza kutolewa kuanzia lini??..na kama batch yako imechelewa kutoka bodi itakuaje kuhusu tuition fee??chuo kitakuelewa??
 
thanx kaka..admission latter zinaanza kutolewa kuanzia lini??..na kama batch yako imechelewa kutoka bodi itakuaje kuhusu tuition fee??chuo kitakuelewa??

Admission letter can be downloaded from ARU website together with fees structure
 
Admission letter can be downloaded from ARU website together with fees structure

So zitawekwa si ndio??maana mpaka sasa hivi bado hawajaweka..okeey jaribuni kuwakumbusha waupload mapema hizo issue..thanx kaka kwa ushirikiano wako,
 

mkuu admission letter na registration form zinatolewa any time from now au kuna cku maalumu tuu!
 
So zitawekwa si ndio??maana mpaka sasa hivi bado hawajaweka..okeey jaribuni kuwakumbusha waupload mapema hizo issue..thanx kaka kwa ushirikiano wako,

Zinaandaliwa nadhani baada ya senate kukaa wiki ijayo kuaprove academic calendar of 2013/14 zitakuwa online.

Itizame tuition fees structure online ufahamu course yako unalipia kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…