kaka bei yako iko juu sana mana pale tigo wanaziuza lak na tisin ukijumulisha na ya kuifngulia hazd lak mbil unabikir mwenyewe. mmmpyaaHapana ndugu hiyo sichukui!
Huawei Y300,mpya kabisa, inapokea line zote, ina flip cover (mpya) ya ngozi, ipo kwenye box lake, charger, cable na 4 GB memory card, inapatikana kwa laki mbili na nusu. (250,000/= tshs.) Kwa mawasiliano ni PM au piga 0778 101177.