Nimeziona. Sasa huyo ndiyo mzuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww unanifurahishaga sana jaman...umeziona?haya...kafanyir kazi nikupe id uwe unamsalimia[emoji55]
Wouzeeeeeeeeer. Mzuri hadi anaboa. Na ninavyopenda hizo ranginaona umestuck.pm..hahahhaaa ..wooozaa
Nimeziona. Sasa huyo ndiyo mzuri.
Haujakosea masharti. Haya sasa nipe id
Sent using Jamii Forums mobile app
afu wewe mwanamke nakupenda sanaa, sema wewe hujui tu
acha hizo babe.. mimi nipo serious wewe unatania.. au unataka nikukose nini?mimi inafikia kipindi nakuota..yaan ndoto nyevu😊
😂😂😂 nashangaa sasaacha hizo babe.. mimi nipo serious wewe unatania.. au unataka nikukose nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]usimpe kiki mtoa mada akanishukia km mwewe..!jaman kuna wanaume wazuri had unapatwa hasira kbisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeokoa hako katoto hakana hata ngeu usoni
alikua anashinda na dada zake
Asante dadaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakupa mdogo wangu nakupaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Baby kwani majibu ya hilo swali una kazi gani nayo?mwanaume au mwanamke ?
Mume wa mtu sumu[emoji85][emoji85][emoji85]
Nami nataka huko[emoji57][emoji57][emoji57]naona umestuck.pm..hahahhaaa ..wooozaa
Hajaoa bhana. Mbona sister hajaniambia kama kaoa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Mume wa mtu sumu[emoji85][emoji85][emoji85]
Nami nataka huko[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]kwahiyo sis mimi ndiyo mlezi wa wana? Dada unanisimanga jamani[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]silei mm watoto wewe..ishia kwa kina babydoll ...naona umetubadilishia avatar[emoji23][emoji23][emoji23]@espy hii sasa itawapata watu wapena walamba lips