[emoji23][emoji23][emoji23]mimi manengelo niangalia muvi usk mzimq[emoji23][emoji23][emoji23]..huo mudq sijawah kuwa nao..kwanzq sijui kuchek movie..yaan hapana
ππkuanglia movie je?
Hivi na wewe umeunga mkono juhudi za mleta mada kwa kuweka avatar halisi[emoji23][emoji23]kuanglia movie je?
Hivi na wewe umeunga mkono juhudi za mleta mada kwa kuweka avatar halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]sawa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] huyu si point 5 kbs mkuu kwa avatar yangu?ni mtangazaji nigeria..nampendaga
EehMkuu umepoa poa sana jitahidi kuchangamka.
Yaani inaonyesha siyo kwenye picha tuu ila hadi kwenye uhalisia umepooza sana.
Halafu habari za kufunga vifungo hadi kidevuni waachie wachungaji.
Pia hudhuria Jim kifua hicho kitune tune maana mwili hauendani na sura kabisa.
Sisi tusio na ndevu tunaruhusiwa kukujibu????kidevu cha kiume kbs hiki..mwanaume ndevu jaman..khaa!navyopenda ndevu..wapi@espy
Hebu msifie tu jamani! atajiskia vibayaπππusimpe kiki mtoa mada akanishukia km mwewe..!jaman kuna wanaume wazuri had unapatwa hasira kbisaaa
πππHebu msifie tu jamani! atajiskia vibaya
hhahaa mnaruhusiwa tu....Sisi tusio na ndevu tunaruhusiwa kukujibu????
Hizo nguvu tunazitoa wapi na tushajijua hatumoooooo kwenye wapendwaohhahaa mnaruhusiwa tu....
Hizo nguvu tunazitoa wapi na tushajijua hatumoooooo kwenye wapendwao
Hahahahahhahahaah! usituogopeshe ujue. Hahahahahahahhahahahahhaa...lmao...its jus a chitchat bwana