Utaota unakimbizwa na members wa jf. Mie mstari wa mbele
Ulichochangia hapa kitakutafuna
Spika Ndugai: Lissu asubiri Muziki wangu - JamiiForums
Driving using BMW X6
Ndiyo maana nimeacha.Hehe hehe ulinifanya nipate presha maana wadada wa JF mko vizur kwenye kudadis na kuchambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha haya shirikiana na Suriya mkiseme hapaNdiyo maana nimeacha.
Maana nilichokuwa naenda kusema Suriya anakijua[emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Some walikua wananitumia inbox some badoHao wadada waliotaka mfahamiane nao wameweka picha zao halisi?
Oh okay okay.Yani kuna jambo nimetaman kulisema kwenye hii quote ya sasa but nimeacha coz nitakufanya uchukie zaidi.
Advise:
"Usiwachukie na kuwakwepa wakuelezao ukweli, kwani wanafiki sio watu wazuri"
Usiku mwema nawe pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambiwa na nani?