Mwenza vipi na hilo cheko? Mmemdanganya mwenzenu huko pm ona sasa!!!
Mwenza naomba tuanzie kwenye avatar yako kwanzaMwenza vipi na hilo cheko? Mmemdanganya mwenzenu huko pm ona sasa!!!
Mwenza hapa mada ni avatar ya mtoa mada ujue.
Hapana mimi nimependezwa na yako mwenzaMwenza hapa mada ni avatar ya mtoa mada ujue.
Baada ya maombi mengi ya wadau (especially wadada) ninaokutana nao PM kutaka tufahamiane zaidi kikubwa kikiwa ni kuonyeshana pic zetu halisi. Nimeamua kuweka pic yangu halisi kama avatar.
Nb: nitakua makini kwenye uchangiaji wa mada coz watu wasiojulikana wapo na hawajulikani wako wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
@mo11 yuko wapi? Nimemmiss.
Yupo kuna sehemu tulienda kutoa mahari@mo11 yuko wapi? Nimemmiss.
Ooooh!! Afadhali aniongezee msaidizi.
Nyoo huku karoho kanauma hivi unaombea niseme ni binamu yetu ndio anaoaOoooh!! Afadhali aniongezee msaidizi.
Aaaah wapi!! MO11 mwenyewe anajua mie sina wivu wa kijinga na peke yangu simuwezi lazima niwe na wenzangu.Nyoo huku karoho kanauma hivi unaombea niseme ni binamu yetu ndio anaoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hensam ndio lakini wa kufunga hivi shati wanavaaga vile viatu kama za wanafanya kazi wa TanescoMr handsom man
Huna loloteAaaah wapi!! MO11 mwenyewe anajua mie sina wivu wa kijinga na peke yangu simuwezi lazima niwe na wenzangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni hensam ndio lakini wa kufunga hivi shati wanavaaga vile viatu kama za wanafanya kazi wa Tanesco
Serious. Afu tuviuno twembambaaa yaani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki you made my night.
Ukuje PM basi