[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiku mwema
Thanks ila najua na wewe ni super beautifulKumbe handisamu eeeh!!
HahahaMwenza vipi na hilo cheko? Mmemdanganya mwenzenu huko pm ona sasa!!!
Aaaah wapi!! MO11 mwenyewe anajua mie sina wivu wa kijinga na peke yangu simuwezi lazima niwe na wenzangu.
Hahahahahhahahahhahahhahaha you so funny karuceee...Ni hensam ndio lakini wa kufunga hivi shati wanavaaga vile viatu kama za wanafanya kazi wa Tanesco
TuoneeeeHahahahahhahahahhahahhahaha you so funny karuceee...
Aise unanifanya nacheka kama kichaa. Mi sivaagi mabuti hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ngoja nikivaa kiatu nitapiga pichaNdo tuone sasa manake duh.
Khatwe ukishawahi kumtekemya pm nini?
Edit hio, huoni majani yalivyopinda