[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]naona unatengua kauli kijanja.[emoji23][emoji23][emoji23]usimpe kiki mtoa mada akanishukia km mwewe..!jaman kuna wanaume wazuri had unapatwa hasira kbisaaa
Kwanini? Mi namuona handsome[emoji4][emoji4][emoji4]
unanichonganisha na mtoa mada ujue
hayo umesema ww..😊.. huenda kweli hb ila hajui kuvaa😉Kwanini? Mi namuona handsome
umeokoa hako katoto hakana hata ngeu usoniHapana, yeye peke yake ananitosha. Sitaweza kuwamudu mr handisamu.
hahaaaumeokoa hako katoto hakana hata ngeu usoni
alikua anashinda na dada zake
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]naona unatengua kauli kijanja.
Mtoa mada lazima akushukiee. Hao wazuri ni wapi? Weka kapicha tusafishe macho.
Sent using Jamii Forums mobile app
hana tofauti na mke wangu espy wote wapo soft usoni
mwanaume au mwanamke ?😂😂😂 kuna mtu humu ni mzuri had huwa namuonea huruma😂
Ni nani huyo . Nikamsalimie pm[emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu humu ni mzuri had huwa namuonea huruma[emoji23]
men😊mwanaume au mwanamke ?
Usichelewa kunipa. Nisije nikawahiwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaonekana unapenda wazuri ww..mm wazuri hapana..nitakupa id yake ukamsalimie
Usichelewa kunipa. Nisije nikawahiwa.
Wazuri hauwapendi kwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ileteeee, usikute unakosea masharti ya kuita wabaya wazuri .hhaahaa mayb kwasabb mm mbaya..nahis watanikifu mapema [emoji55]...mwanaune mzuri na akajijua mzuri huwa nahis maisha yangu hayaend..yanastop kbs..aku..ngoja nikurushie kwanza picha yake
hahah nakutania hata hivyo
afu wewe mwanamke nakupenda sanaa, sema wewe hujui tu😂😂😂usimpe kiki mtoa mada akanishukia km mwewe..!jaman kuna wanaume wazuri had unapatwa hasira kbisaaa