Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Go kwenye hasa kwenye api watu wanasema ipo vizuri sana.Mwaka huu backend nimeamua kufanya na Go
Nimefurahi kusikia watu wanafanya optimization kwenye project zao kwa c++ maana hizi story tumezoea kuziona kwa makmpuni makubwa yanayo handle traffic kubwa kama Google e.t.c.Hasa kwa complex project
Mda sasa nimekua nikitumia python kama primary PL
Moja ya sida kubwa sana ni speed, aise python ni tabu sana
Leo nimeanza kufanya project ambayo natumia python na cpp backend.
Python natumia ku fanya API endpoints wakati c++ natumia kufanya business logic na optimization
Kama unapenda kitu flan complex, pasua kichwa, unaweza kujaribu hii Backend
Frontend AngularGo kwenye hasa kwenye api watu wanasema ipo vizuri sana.
Unatumia Frontend gani?, Niliona article online ya GO na flutter
Japo sijawahi kuitumia kabisa, hata ku install
Watu wengi wanapenda vitu simple, Mambo ya kutumia akili hawapendiNimefurahi kusikia watu wanafanya optimization kwenye project zao kwa c++ maana hizi story tumezoea kuziona kwa makmpuni makubwa yanayo handle traffic kubwa kama Google e.t.c.
Hii ni side project, nafanya mwenyewe. Mda nikiwa nimechoka iviHowever, C++ ime undergo evolution kubwa na tunapoongea C++23 iko sokoni tayari na hi evolution inafanyika every 3years since C++11. How are you prepared ku maintain consistency ya versions unazotumia wewe na team yako. I mean, umejiandaa je kukuta wewe una Code C++11, afu team members wako wameweka features za C++23.
FastApiVipi kwa Python unatumia framework gani kutengeneza hizo API endpoints?
Go unyama sana.Mwaka huu backend nimeamua kufanya na Go
Niliskia google waliachana nayoFrontend Angular
natumia Gin, Nimetokea kwenye Springboot, Ndio nimeanza project ya kwanza na Go nikiikamilisha nitakua nimepata madini mengiGo unyama sana.
Unatumia any framework/Router kama Gin, chi?
Kama unafanya plain Golang bila hizo frameworks jipange kufanya boilerplate codes kama zote especiallywenye serialization ya payload kutoka na kwenda kwenye model, especially hii itakua big deal kama umetoka kwenye Frameworks e.g Laravel, Django au spring boot.
angalia mfano hii API controller haipo clean sababu unaitaji kuserilize data, kitu ambacho ni automated kwenye frameworks nyingine
View attachment 2951157
vizuri sana.Watu wengi wanapenda vitu simple, Mambo ya kutumia akili hawapendi
Hii ni side project, nafanya mwenyewe. Mda nikiwa nimechoka ivi
FastApi
Bado wana i support though Effort kubwa inawekwa kwenye Kuiendeleza FlutterNiliskia google waliachana nayo
hakika uta enjoy Golang.natumia Gin, Nimetokea kwenye Springboot, Ndio nimeanza project ya kwanza na Go nikiikamilisha nitakua nimepata madini mengi
Structure zinafanana sana, ukiangalia mara ya kwana unaweza kudhani zote ni project za flaskvizuri sana.
why Fastapi na Flask in the same project?
maana anything unafanya kwa Flask unaweza kufanya kwa FastAPI except Flask haina async