New Comers!

Hivi na mimi uliacha nimeshajoin au ndio unaniona mara ya kwanza?Kama ni mara ya kwanza basi mie ndio Paka Mweusi mama,na kila ninayemjaribu humu ndani ananitoa mbio sasa sijui wewe itakuwaje?
 
Hivi na mimi uliacha nimeshajoin au ndio unaniona mara ya kwanza?Kama ni mara ya kwanza basi mie ndio Paka Mweusi mama,na kila ninayemjaribu humu ndani ananitoa mbio sasa sijui wewe itakuwaje?

halafu wewe.....
 
aah you i beg ooh....I was in Lagos for business!...God forbid i am not going change my nashunaliti at all...
a mule is a person ambaye anabebeshwa unga,and because u once said u only understand the language of money,i was afraid nigerians had convinced u to carry these illicit drugs
 
Hivi na mimi uliacha nimeshajoin au ndio unaniona mara ya kwanza?Kama ni mara ya kwanza basi mie ndio Paka Mweusi mama,na kila ninayemjaribu humu ndani ananitoa mbio sasa sijui wewe itakuwaje?

Ndiyo maana wanakukimbia you sound desperado!....chill out Mr!....enjoy life too short yooh!....
 
m goin to bed nw
cu tommorow
greetings to al at yr compound
igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!
 
Karibu tena Binti Maringo hope ulikuwa na wakati mzuri ulipokuwa mbali nasi na uliwaacha salama wale wote ulikuwa nao na uwapendao. JF imeingiliwa sio utani si ile JF uliiacha kuna upupu watu wanaandika huku acha kabisa. New Comers! New Comers! wangu wamegeuza JF ni baraza la mipasho utachoka ukiingia humu JF imeanza kupoteza hadhi yake. Hope malalamiko haya yamewafikia walengwa. Si lazima kila post iwekwe humu zingine hazina mguu wala kichwa basi tu kujaza ukumbi.
 
Hivi na mimi uliacha nimeshajoin au ndio unaniona mara ya kwanza?Kama ni mara ya kwanza basi mie ndio Paka Mweusi mama,na kila ninayemjaribu humu ndani ananitoa mbio sasa sijui wewe itakuwaje?
nimekufuma!
kumbe ndo zako ennh? ukiona mali mpya unasaliti zooote zazaman?
BASI NIMEGHAIRI SIWI TENA MJUKUU WA WATOTO WAKO AS IPROMISD U.
its ovaaaaaaaaaaaaaaa yoooooooooo count me ded n ur no longa paka ur just panya infakt THE SMALL PANYA aka DWAF PANYA!!!!!
 
a mule is a person ambaye anabebeshwa unga,and because u once said u only understand the language of money,i was afraid nigerians had convinced u to carry these illicit drugs

SOA...I don't do or involve myself with dirty business....I do understand the language of money and that is why i was in Lagos chasing green nah mean?....I knwo Nigerian r known for scum but not with me....I think ahead of them....anyways long time buddy you good?...
 
Pakawa wote wazima hofu na mashaka ilikuwa kwa nyinyi wapendwa mliokuwa mbali na upeo wa macho yangu na nafurahi nimerudi na kuwakuta wote mpo salama...

eeh yaani nimeingi ahapa na kuona mambo yamekuwa mambo kabisa.....JF imekuwa kijiwe cha nani kafanya nini yaani hata Bossip.com haioni ndani ni ilimradi tuu!....i think its about time watu waelezwe kuwa hiki siyo kijiwe cha mipasho period....Hope all is well with you my darling!....
 
well me good,so you was so busy that even JF had to play second fiddle? Kijiwe kimevamiwa,them days when we were tackling issues and arguing intellectually are truly over-JF has been invaded by gossipers and low lifes who cant even string a decent debate
 
SOA!...And that is my whole point...But well what can we do?....and that is why i had to go seclusion for a while kutengeneza pesa si unajua tena Ngw'anawane...even though i was away you was still in my mind and thought i am happy to hear that u r doing gud!....cheerz partner!
 
Sioni tatizo la JF kuwa na newcomers wengi iwezekanavyo na pia sioni tatizo la wanachama kuweka maandiko yao kwa kadri wanavyoona inafaa, andiko ambalo kwako ni mpasho kwangu na kwa mwingine ni fundisho,

karibu tena da Maringo, ukiondoka wewe au mimi au mwingine yeyote, wengine wanachukua nafasi hakuna kusubiriana hapa bana
 
Jamani bibi wa wajukuu zangu usifanye hivyo nimeshakuzoea,nitazeeka na nani sasa mwenzio?
 
hahahaha My mdogo i didn't know....ss mbona hukuniambia nikajua ili niweze introduce you to my peeps in here ili waweze take good care of you when i am not around?

Penye red: done as per JF rules of caring....
 
Nakubaliana na wewe kabisaa...!

Ile elimu/ushauri na muongozo tuliokua tukiipata hapa nzi hizo umekwisha kabisa. Siku hizi kila kukicha ni TIGO, Mkumla mke wa mtu, Ushuari wa kutengenisha ndoa etc...! So sad...!
 
Labda mkisema nyie mtaeleweka ila si wengine tukisema tunaambiwa (tena kwa ukali, kebehi, na dhihaka) eti tunataka kulazimisha wengine wapende tupendavyo sisi au tunaambiwa tupotezee tu kama hatupendezwi...
 
hahahahaaaa rose abegooooooo abi, stop dat cause u gona break ma mbavooooo lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…