Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Maokoto yameisha wamekuja na upuuzi mwingine
Ruto na Samia ni wazuri sana kuhemea ughaibuni😁Kwa nini tusiseme haya ndiyo matokeo ya ziara kibao za Dkt. Ruto ng'ambo?
Je, wakoloni wamempa mbinu mpya za ^kujikwamua^ na aibu ya shutuma dhidi ya serikali yake kuhusu umaskini na hali mbaya kimaisha?