Suley2019 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2019 Posts 2,203 Reaction score 5,610 Mar 21, 2024 #1 New Covid Variant A new Covid-19 variant is in circulation in the country. Doctors say the new variant called JN1 and and Swine Flu Your browser is not able to display this video.
New Covid Variant A new Covid-19 variant is in circulation in the country. Doctors say the new variant called JN1 and and Swine Flu Your browser is not able to display this video.
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Mar 21, 2024 #2 Wajifungie tena kama walivyofanya wakati ulee😎😎
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,869 Reaction score 14,501 Mar 21, 2024 #3 Maokoto yameisha wamekuja na upuuzi mwingine
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Mar 21, 2024 #4 Mr mutuu said: Maokoto yameisha wamekuja na upuuzi mwingine Click to expand... 🤣🤣🤣
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Mar 21, 2024 #5 Kwa nini tusiseme haya ndiyo matokeo ya ziara kibao za Dkt. Ruto ng'ambo? Je, wakoloni wamempa mbinu mpya za ^kujikwamua^ na aibu ya shutuma dhidi ya serikali yake kuhusu umaskini na hali mbaya kimaisha?
Kwa nini tusiseme haya ndiyo matokeo ya ziara kibao za Dkt. Ruto ng'ambo? Je, wakoloni wamempa mbinu mpya za ^kujikwamua^ na aibu ya shutuma dhidi ya serikali yake kuhusu umaskini na hali mbaya kimaisha?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 22, 2024 #6 Duh aiseee
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 23, 2024 #7 Pole yao sana majirani... Cc: Mahondaw
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Mar 23, 2024 #8 Jasmoni Tegga said: Kwa nini tusiseme haya ndiyo matokeo ya ziara kibao za Dkt. Ruto ng'ambo? Je, wakoloni wamempa mbinu mpya za ^kujikwamua^ na aibu ya shutuma dhidi ya serikali yake kuhusu umaskini na hali mbaya kimaisha? Click to expand... Ruto na Samia ni wazuri sana kuhemea ughaibuni😁
Jasmoni Tegga said: Kwa nini tusiseme haya ndiyo matokeo ya ziara kibao za Dkt. Ruto ng'ambo? Je, wakoloni wamempa mbinu mpya za ^kujikwamua^ na aibu ya shutuma dhidi ya serikali yake kuhusu umaskini na hali mbaya kimaisha? Click to expand... Ruto na Samia ni wazuri sana kuhemea ughaibuni😁