Tusilaume kila kitu! Kimsingi hiki ni transition period to digital era! Ni jitihada za kupongezwa kutengeneza data base ya wenye leseni mpango huu umekuwa ukipanua wigo wake. Ilianza mikoa michache, sasa hivi idadi inaongezeka kadri inavyowezekana. Kumbuka leseni ni hati muhimu pia udhibiti ni muhimu. Asanteni