Una uhakika!?? Na watatoaje majina ya waliokosa first selection na wasitoe ya waliochaguliwa??
Duh!majangaa mbona majangaa
Waliokwisha download tupieni humu basi tuone.
majanga kwelikweli! but kwa mtizamo wangu ni bora tu yawe hayo hayo majanga na yamkute huyu dogo langu mana hapo first alifanya selection za course mbovu mbovu kweli kweli bila kufuata advice mpk keshajuta sn but nahs kwahili la waliokosa atakua anaomba kwa udi na uvumba awemo ili achek upepo mwngn.
kama vipi mdau naomba unichekie jina hili kama lipo edger mhavi edward sor lakini!yani nimedownload but kutupia bado inakataa,ni file la 5.1 MB.
mkuu hawa wadogo wetu ni wabishi kweli kwenye kuwapa ushauri..wanajaza tu course kuna course zingine zina competition kubwa na zimeombwa na watu wengi angali ufaulu wao mdogo.
Ndugu yale majina sio walakosa first seletion bali ni majina ambayo watu ambao 1.wamejaza kozi kwa makosa (ilegible) na ambao wamekosa kozi zote ambazo walizochagua kwa sababu ya competion ya hizo kozihabar zenu Wanajamvi...
Nmepitia TCU Website thru my phone nmekuta majina ya waliokosa first selection yametoka.
Kwa bahat mbaya mwenzenu na wengineo cm zetu hazina uwezo wa kufungua PDF na tuko very remote areas.
So nawaombeni mlioweza kudownload na kusoma majina hayo mtupie yote humu humu Jf na ili wengine tupate kujiangalia kwa faida ya wote.
***NAWASILISHA***