Sasa mbona wale wa level ya diploma walioapply degree majina yao hayamo..wao watAjuaje wamepata au wamekosa
waliodowload ! tusaidiane huku vijijin majanga cmu haziwez
kama unaemail nipe nikutumie ndugu yangu
mi nimechek kwenye VIEW MY SELECTION STATUS course zote nilizoomba zipo lakini nikichek kwenye SELECTED PROGRAMS hakuna kitu na nimepewa option ya kuaad course moja. Hapa tatizo nn? Tufahamishane wakuu!
kama vipi mdau naomba unichekie jina hili kama lipo edger mhavi edward sor lakini!
asanteeee! Nimekusoma!Edger Mhavi Edward halipo lakini ukipata nafasi na wewe unaweza kujiangalia ili moyo wako utulie maana najua ulivyo na shauku.
asanteeee! Nimekusoma!Edger Mhavi Edward halipo lakini ukipata nafasi na wewe unaweza kujiangalia ili moyo wako utulie maana najua ulivyo na shauku.