New Gas Find off Ruvuma

Iyo gesi ya mnazi bay ingawa yetu wanatuuzia kwa pesa za kutupa hv ina maana hatuwez chimba wenyewe?au hatuwezi kuingia ubia wa 50%?kuliko kuwaacha wachimbe wao na watuuzie sisi kwa bei ya kutupa ingawa gesi ni yetu?

....kuchimba wenyewe?you mean serikali au? hakuna kitu kama hicho bro,TANESCO mbona ya serikali lakini umeme hakuna na ni bei mbaya kuliko,TTCL or ATC mbona hawakutupa bei nzuri zaidi ya upuuzi tuu,TBL kabla ya South hawajachukua tulikuwa hata kuzalisha bia hatuwezi na kuishia kunywa Tusker za wakenya,acha wenye utaalam wao wafanye kazi so uzalendo wa kijinga,muhimu ni fair deal tuu kwa wananchi
 
japan wana gas au mafuta?
south korea je???

nigeria wana mafuta..
wakoje?????????
 
Dhahabu, Almasi, Uranium, Gas na dalili za mafuta(petroleum).....Mhhhhh!

Sababu tosha ya AFRICOM kuja TZ!
Hivi US hawajaomba kujenga base yao hapa?

Sasa tujichunge vizuri, au "Watatuletea demokrasi" kupitia no-fly zone soon.
 

Bad enough we have only 15% Share!!!!!Does it sound great???How can you only profit 15% of your resource???
 
Kamauongozi utakuwa ni huu huu sitegemei faida kwa common mwananchi!
 
What is our share in Songosongo gas project? Work on the bird in hand before thinking of others on the bush!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…