New high as Kenya records 213 COVID-19 cases, 10 deaths

New high as Kenya records 213 COVID-19 cases, 10 deaths

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kenya has recorded a new high in the number of coronavirus cases with 213 more people testing positive for COVID-19 following the testing of 6,024 samples.

This now brings the total number of confirmed COVID-19 cases in the country to 4,257.

At the same time 10 more patients have succumbed to the coronavirus disease raising the number of fatalities recorded so far in the country to 117.

In a press briefing on Thursday, Health Ministry CAS Dr. Rashid Aman further announced that 106 more patients had been discharged after fully recovering from the the disease raising the number of recoveries to 1459.

The new cases are distributed as follows: Nairobi (136) Mombasa (32) Kajaido (13), Kiambu (7), Busia (5) Nakuru (4) Machakos (4), Garissa (3), Isiolo (3), Taita Taveta (2), with Kitui, Migori, Narok and Embu have one case each.

The 136 cases in Nairobi come from Dagoretti North (36), Westlands (25), Kamukunji (17), Kibra (130) Makadara (11), Starehe (8), Langata (9), Kasarani (6), Embakasi East (4), Embakasi North (3), Ruaraka (3) and Embakasi Central (1).

In Mombasa, the 32 cases are distributed in Mvita (20), Likono (5), Kisauni (5) and Changamwe (2).

Source: CITIZEN TV
 
Inaonekana kasi ya kupima imepungua ndio sababu maambukizi yanaongezeka, majirani ongezeni kasi ya kupima ili virusi vikimbie. Pima, Pima, Pimaaaaaaa
 
Inaonekana kasi ya kupima imepungua ndio sababu maambukizi yanaongezeka, majirani ongezeni kasi ya kupima ili virusi vikimbie. Pima, Pima, Pimaaaaaaa
Wakenya wengi wamechoka na hizi takwimu na hawazitaki tena [emoji23]
 
Wakenya wengi wamechoka na hizi takwimu na hawazitaki tena [emoji23]
Kwanini wamechoka wakati wanaamini kupima ndio njia ya kupunguza maambukizi?.

Wakenya msichoke endeleeni kupima, msiwasikilize hawa Watanzania wanawaonea wivu kwasababu hawana mashine za kupima.

Kenya Pima, Pima, pimaaaaaaaaaa
 
Inaonekana kasi ya kupima imepungua ndio sababu maambukizi yanaongezeka, majirani ongezeni kasi ya kupima ili virusi vikimbie. Pima, Pima, Pimaaaaaaa
Hakika.
This is an endless circle.
Wakishamaliza kupima taifa zima itabidi waanze tena kupima wale wote ambao walipima negative kwenye kipimo cha kwanza.
 
Unajua mtu anapokuwa mjinga anachekesha,lakini badala kicheko kikutoke unajikuta unamsikitikia.
 
Hapo ili kuimaliza Covid-19 Kenya inabidi waongeze kasi ya kupima na kutangaza hakika nakwambia corona itawakimbia
 
Tutapima tena zaidi, next month tutaongeza itakua ni 10,000 samples in 24 hours na maambukizi itakua ni 500 per day shida iko wapi? nnani ana bisha?
 
The disease doesn’t kill people, not worth discussing it
 
Back
Top Bottom